happy birthday

  1. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy Anniversary (au ukipenda, happy birthday) kwa mahusiano ya Kenya-Tanzania

    Siamini kwamba mwaka mmoja umepita, bila ya hasira, visasi, mivutano, malumbano, majibizano na 'makasiriko', kati ya nchi mbili hizi za Kenya na Tanzania. Sio baada ya yote tuliyoyashuhudia, kwa karibia miaka sita. Yaani tangia mwezi wa nne hivi mwaka uliopita mambo yaligeuka ghafla, yakawa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to me

    Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Taikon

    Kwema Wakuu! Ijumaa Kama ya Leo, Tarehe Kama ya Leo, mwezi Kama WA leo, Taikon niliwasili Duniani Alfajiri kabla ya jua kuchomoza, nikitokea Nyota ya Tibeli yenye mbawa Mbili irukayo tangu ulimwengu huu mpaka mwingine. Inatarajiwa nitaondoka siku kama ya Leo lakini haifahamiki ni mwezi gani...
  4. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Happy birthday kwako mwana JF, Bujibuji na wote mliozaliwa leo

    Bujibuji najua huwa hupendi personal life iwe exposed, lakini kwa umuhimu wako hapa Jukwaani, niona nikutakie heri wee na Wana JF wote mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa leo.
  5. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Tundu Lissu

    Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
  7. Poker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy birthday baba Raila Odinga

    Mataga mjifunze kupitia siasa za kenya!
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to Me

    Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Ni mwaka mwingine tena wa Bwana. Sifa na utukufu ni kwa Mungu muumba wa mbingu na nchi.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Dkt. Hussein Mwinyi

    === Kila lenye heri Mzalendo wa kweli wa Taifa hili Rais Dkt Hussein Ally Mwinyi. Mungu akupe miaka mingi zaidi ya baraka na furaha ili uwatumikie zaidi na zaidi masikini wa Taifa hili wa Visiwani na bara,
  10. KENZY

    JamiiForums Tanzania Happy birthday my lovie!

    Kwako nyonga mkalia ini,mwenye mapenzi yasiyo kifani! Usoni yanijia sura yako nzuri yenye tabasamu la mtoto mchanga!,Naam hakika umezaliwa wa huba!. Ningependa nikutakie heri ya siku yako yakuzaliwa nikufunike kwa namba yako kumi na moja katika mwezi huu wa kumi na moja na mwaka huu wa...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu

    HUYU NDIYE ASKOFU MKUU DESMOND TUTU Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu, Askofu Mkuu mstaafu wa Capetown, Kanisa Anglikana Afrika Kusini na Katibu Mkuu mstaafu wa Jumuiya ya Makanisa ya Afrika Kusini. Kupitia sauti yako dunia ilielewa uovu na...
  12. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Rais Mstaafu Mzee Jakaya Mrisho Kikwete

    Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa! Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa waliokomaa! Kipindi cha uongozi wako, kulikuwa na uhuru sana, tofauti kabisa na awamu ya tano, watu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Happy birthday AuchoJr Kwa Kuongeza Umri

    Leo September 29,2021 Aucho Jr anasherehekea cku aliyozaliwa Ni mtoto wa Mchezaji wa Yanga Aucho
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Happy born day Mwamba Mbowe

    Leo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako. Mungu akupe maisha marefu
  15. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa nafasi hii ya upendeleo..Sifa,Shukrani na Utukufu ninakupa wewe uketie mahali Patakatifu..Amen Happy birthday 🎈🎊🎉🎁🎂 to me kwa mara nyingine tena. Happy birthday y’all team Gemini 🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️ Chakorii
  16. Mahondaw

    JamiiForums Tanzania Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

    Hello guys Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na...
  17. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Hello bestito Chachu Ombara hongera kwa kumbukizi ya kuzaliwa kwako leo. Nimekumiso sana nakutakia heri na fanaka kwenye kufurahia siku hii muhimu kwako kwani ni ya kipekee inakuongezea miaka kadhaaa. Hebu wadau mtakieni heri na fanaka ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake. Enjoy your day best
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

    Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia . Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Happy birthday World Football Entertainer of all The Time Ronaldinho Gaucho,

    Happy birthday World Football Entertainer of all The Time Ronaldinho Gaucho,
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday CEO mzuri Barbara Gonzalenz

    Heri ya kuzaliwa mtalaam wetu Barbara
Back
Top Bottom