potokaz

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
530
486
1642670037718.png

Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu.

(Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu!

Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu.

You are the HERO!

Ule mkono wa Mungu uliokuepusha na risasi 38 ukakulinde siku zako zote Mungu alizokupangia kuishi hapa duniani. Lile kusudi la Mungu alilolikusudia la kuwepo kwako chini ya jua ndani ya nchi hii LIKATIMIE.

Umekuwa Mwalimu wa maarifa katika maeneo mbalimbali yahusuyo nchi yetu., kwa huku mitandaoni tunakushukuru sana kuwa niaba ya watumiaji wa Twitter, Club House na Space.

Na umefanya hivyo bila kuchoka. Unastahili hizo Phd ambazo tunaona zinaenda kwa kina Msukuma (Mbunge). Ulistahili kuwa Dr. Lissu au Prof. Lissu, kwa elimu unayotoa ambayo inatufumbua macho na kutunoa ubongo.

Mungu akubariki Mh. TUNDU LISSU!
 
Mungu akujalie maisha marefu hukohuko Ubelgiji, huku kwetu, ukijifanya wewe ni kimbelembe utakula virungu mpaka wakuvunje unyayo ndugu zako walie
 
272159862_5024640527595908_7158430960251574959_n.jpg


Leo ni siku ya kuzaliwa kwa jemedari na mpambanaji mwenzetu Tundu A. Lissu nakutakia maisha marefu na yenye l mafanikio. Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia kama chombo cha kuwaletea Watanzania mabadiliko wanayostahili.

Huyu ndio shujaa halisi, sio hawa mashujaa wa kuchonga au kubumba.

Happy birthday Mr President, Long live
 
Tundu_Lissu%2C_ndiyo_mwanaume_pekee_aliyekuwa_na_uwezo_wa_kumchachafya_Mzee_MEKO._Lissu_alikuw...jpg


Popote ulipo Mkuu Kwa niaba ya familia yangu na kwa niaba ya Watanzania Wote kwa ujumla , nakutakia Heri nyingi sana za Siku yako ya kuzaliwa , Tunamshukuru sana Mungu kwa zawadi ya kutuletea wewe katika nchi yetu .

Spana ulizomtandika Mtu kwenye kampeni za ulioitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 hazitasahaulika milele , Mungu akupe Maisha Marefu sana ili uendelee kutoa faida kwa Wananchi wenzako .
 
... heri tumbo lililokuzaa na maziwa uliyonyonya! Mungu akujalie afya njema na akupe maisha marefu. Hata ujapopita katika uvuli wa mauti; uwapo katikati ya waovu wakimbiliao kumwaga damu umtegemee BWANA; uwe jasiri kama simba maana MUNGU ndiye ngao na kinga yako.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom