happy birthday

  1. Masiya

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Commandant du Bord Josky Kiambukuta

    On this valentine day I wish a happy birthday to the voice of TP OK Jazz (1973-1993). Josky went through Dr Nico's African Fiesta Sukisa and Orchestre Continental from where he joined TP OK JAZZ . His voice is to be herd on most of the bands songs from Kebana to Bilonda. He then formed...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday CCM!

    Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania. Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji. Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka Maendeleo hayana vyama!
  3. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Mwaka Mpya: Nimemwagiwa maji kitandani

    Sina zaidi ya salaam maana naona ata uvivu kuandika, nasema haiwezekani Leo nipo nimelala zangu kitandani mara naskia Mwaaaaa nakurupuka ni nini nakutana na kitu maji yamejaa kitandani sio godolo sio shuka vyote chapa chap, nauliza kulikoni eti siku yangu ya kuzaliwa, Tena angalau wangechukua...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa " Happy Birthday utafasiliwe"

    Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri? Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno... Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
  5. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me panchito

    Namshukuru sana MUNGU aliye juu kwa kunipa uzima na mpaka sasa hivi ninaandika. Bila yeye hakika nisingeweza ,naomba anitimizie zaidi ya yale niliyomuomba japo apangalo huwezi pinga. Nami nakukaribisha 2021 kwa hasira zaidi kwani nina malengo na maisha yangu ..mke wangu na watoto wangu wawili...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Dkt. Magufuli-Pongezi kwako!

    Leo ni siku ya kuzaliwa ya ndugu John Pombe Magufuli. #Ni tarehe 29 oktoba ya NEEMA Tele.
  7. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to Me. Happy birthday to all team June

    Habari ya asubuhi JF Family. Mnaendeleaje leo ninafuraha sana jmn kha!sio kwamba nimeongeza mwaka mpya tu..hapana ni kwa sababu nimeongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema na uzima pia.🙏Mungu kwa hii nafasi ya pekee sana kwangu. Ndani ya uzima na afya, utaweza kwenda popote,kufanya...
  8. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga so nilikumiss sana acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr Wangu Chachu yaani atashangaa kuona mtoko wake kamkaukia hahahaaaaa...
  9. Display Name

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

    Leo tarehe 9 May ni siku kubwa ya kuzaliwa mtu anayewezesha uwepo wetu humu. Maxence Melo Tunapata nafasi ya kufanya yote kwa kuwa amesimama na kutupatia uhuru wa kutoa yetu ya moyoni. Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na uzidi kutupigania sisi na Uhuru wetu wa kujieleza...
  10. Zitto

    JamiiForums Tanzania Miaka 6 ya Utetezi wa Wananchi: Happy Birthday ACT Wazalendo 5-5-2020

    Miaka 6 ya majaribu mengi katika maisha yetu ya kila siku, Watanzania. ACT Wazalendo tumekuwa upande wa Wananchi muda wote, wakati wote bila kujali ‘Consequences’. Tumekuwa na Wazanzibari walipoporwa haki yao ya kuchagua Kiongozi wanayemtaka! Tumekuwa na Wakulima wa Mbaazi, Korosho, Pamba...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Pascal Mayalla

    Tarehe kama hii yani 08/04/1968 alizaliwa mwanasheria, mwanahabari na mchamuzi nguli Pasco Mayala. Happy birthday to you Pasco Mayala. Mola akupe maisha marefu yene HERI na BARAKA.
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania I wish you Hon Halima Mdee A very Happy Birthday indeed

    Pamoja na ugeni wa Corona nchini Tanzania, lakini hatutaweza kuacha kuwakumbuka na kuwatakia heri ya maisha yao Mashujaa wachache wa Taifa hili, Akiwemo Mh Halima Mdee, ambaye uwepo wake nchini Tanzania ni Makusudi maalum ya Mwenyezi Mungu. Kwa sababu ya uthubutu wake wa kuwatetea wengine na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday CCM, Tunawashukuru kwa mema yote mliyolitendea taifa ikiwemo kuukubali mfumo wa vyama vingi!

    Namtakia kila la kheri mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli Nawatakia kila la kheri makamu mwenyekiti mzee Mangula, Katibu mkuu Dr Bashiru na sekretarieti yote Namtakia kila la kheri kada mkongwe na asiyechoka Mzee Mgaya Nawatakia kila la kheri wanaccm wote Mwisho lakini siyo kwa umuhimu nawatakia...
  14. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Sends a Birthday Message to North Korean Leader Kim Jong-un

    US President Donald Trump has sent a birthday message to North Korean leader Kim Jong-un, said South Korean National Security Advisor Chung Eui-Yong. Speaking with reporters, the official, who met with POTUS this week, said he had been given a message to pass to North Korea, which was...
  15. esiankiki

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to me

    Salamu wakuu, Namshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine sifa na heshima zimrudie yeye, namshukuru kwa ulinzi na baraka zake za kila siku. Familia yangu ya JamiiForums asanteni sana kwa kuwa nami🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
  16. C

    JamiiForums Tanzania Happy birthday by Ndala Kasheba

    Tafadhali sana wana burudani, yeyote mwenye access ya wimbo wa Ndala Kasheba, Happy Birthday to You, share nami tafadhali
  17. J

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Freeman Aikael Mbowe

    Nikiwa ndani ya uwanja wa Kirumba napenda kukupa salamu za baraka kwa siku yako ya kuzaliwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe. Mungu akubariki. Maendeleo hayana vyama!
  18. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday CONTROLA

    Tarehe kama ya leo 26 Nov Mkoa wa Kilimanjaro ndani ya Wilaya ya Moshi vijijini. Kijiji kimoja cha kuitwa "masama" baba na mama wa CONTROLA walibahatika kupata mtoto wao wa kwanza waliempenda kupita maelezo,wakati CONTROLA akizaliwa alitoa kilio cha hatari ila kwa upande wa wazazi wake wao...
  19. othiambo

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    Namshukuru sana M/MUNGU mwingi wa rehma na baraka kwa kuniwezesha kufikia leo tarehe ambayo kwa uwezo wake nilikuja dunia shukran za dhati ziende kwa wzazi wangu wawili............Wallah nina furaha sana.
  20. Verifier

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday

    Hongera ndugu yangu kwa kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa! Mungu afanikishe ndoto zako na zaidi akujalie afya nzuri na maisha marefu yenye furaha na mafanikio! Furahia siku yako! Naikumbuka vema hadithi ya maisha yako ndugu yangu kwa hakika umepitia mengi. Historia ya maisha yako ilianzia...
Back
Top Bottom