Naamini hunijui. Na mimi nakiri kuwa sikujui. Hatujuani! Lakini zamani wakati sijajiunga JF ulikuwa unaandika sana hasa kuhusu ushauri wa kimahusiano, malezi ya watoto, familia, mambo ya kiroho; na maisha kwa ujumla.
Mwaka 2018 au 2017 (sikumbuki vizuri), nilisoma comment yako moja hivi...
The day is finally here shostie. Have loads of fun and more happy days of joy .
Let your life be filled with health love strength success and passion.
Wish you more years of happiness and wonderful experience cocastic .
Happy birthday cocastic
Happy birthday kwako (kwangu) Msanii
Leo umetimiza miaka kadhaa tangu uanze kupumua juu ya ardhi hii ya wadudi. Natumaini umejifunza mengi na kuona mengi kwenye dunia hii hii ambayo ni nzuri kwa wachache na shubiri kwa wengi.
Ombi lako (as birthday wish) kwa uongozi wa JamiiForums kwamba...
Kwanza kabisa nashukuru Mungu kwa kuendelea kunipa zawadi hii ya uhai maana Sina cha kumlipa zaid ya maombi na Sala kwake🙏🙏
✍️Kama Uzi unavyojieleza kama WWE ni mmoja wapo umezaliwa tarehe kama hii Mwezi kama huu Mwaka kila mtu anajua wake naomba tujipigie makofi Maana Mungu Ameweza kutufikisha...
Leo ni birth day ya Dr Slaa. Nimeona katika internet. Ingawa yeye alitamka October 28 ndiyo birth day yake.
Namtakia Dr. Slaa afya njema na mambo yote mema;yeye,familia yake na rafiki zake.
Alianzia redio ya Taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam, kabla ya kuelekea Kenya ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katikati ya miaka ya 1990.
Mojawapo ya maswali aliyoomuuliza Rais Magufuli ilikuwa kuhusu Demokrasia nchini na...
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.
Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.
Mwenyezi Mungu...
Aloooooooooooooo.
its my birthday.
shukrani kwa mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardho kwa kunifikisha siku hii ya leo.
siku muhimu katika maisha yangu.
lakini pia nitumie nafasi hii kuwashukuru wazazi wangu huko walipo na Mungu awape umri mrefu zaidi.
happy birthday to me.🧁🧁🧁🎂🎂
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kwa kujipongeza kufika mwaka mwingine tena.
Nawashukuru wazazi wangu walionileta duniani huko waliko waendelee kupumzika kwa amani.
Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kunilinda pamoja na mapungufu mengi ninayo mtendea kwa namna yeyote ile.
Na...
Helloowww guyss!!!
Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday!
Mary God bless you and grant you many more years to celebrate!
Happy birthday Bantu Lady
Leo nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa nashukuru ni mzima wa afya maana katika familia yetu watu wanakufa kabla ya tarehe ya siku ya ya kuzqliwa kabla ya siku tatu au mbili na mimi pia wiki ilio isha mambo yalikuwa mengi ya kuvuruga akili naona shetan alikuwa kazini ila Mungu mwema
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa Kwa chakorii..
Karibu tusheherekee pamoja na Gemini.
Kama na wewe unasheherekea birthday yako leo tafadhali mguse Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa.Tembelea watoto yatima watu waishio katika mazingira magumu,,kula nao mfurahi.
Mungu akubariki utoapo na upokeapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.