Mwanaume huwa na tamaa akiwa na kipato, mwanamke huwa na tamaa akiwa hana kipato(kafulia)

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,164
15,839
Utaona mwanaume mwenye hwezo wa kimali anafanya starehe sana,wanawake anabadilisha,hamueshimu mkewe kila aina ya starehe anafanya yeye hataki lolote,hawazi maendeleo.

Akifulia sasa : atampenda mkewe,atakuwa na mipango mingi ya maendeleo,ataheshimu familia na kuwa muaminifu,hakuna tena kubadilisha wanawake kwa sababu kipato kimepotea.

WANAWAKE SASA

akiwa na kipato kizuri : ataheshimu ndoa yake,atafurahia maisha,ataheshimu familia yake na kuitunza,hababaishwi na mwanaume yeyote,wanaume watamuongopa kujipendekeza.

Akiwa amefulia sasa hana kipato : ataanza kujirahishisha,tamaa zitakuwa mbele,wanaume wata take advantage kumtongoza,ataanza kuchepuka,ataanza kudharau familia na mumewe.

SOLUTION : kama mume una kipato ebu muachie mkeo yeye awe nazo awe na pesa nyingi awe tajiri wewe kuwa kawaida kuepusha tamaa zisikunyemelee,na kwa mkeo pia atakuwa hatembelewi na tamaa na majaribu ya aina hiyo mtaishi kwa amani sana.

Sio kwa wote,chukulia poa.

Wanaume na wanawake tupo tofauti sana.
 
Nakazia solution!❤❤❤❤
 
Huu ushauri ni kama Nguvu za Giza
 
Tamaa hutokana namtu mwenyew na mazingira aliyo yakuta wakat anaanza kujua maisha ninin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaona mwanaume mwenye hwezo wa kimali anafanya starehe sana,wanawake anabadilisha,hamueshimu mkewe kila aina ya starehe anafanya yeye hataki lolote,hawazi maendeleo.

Akifulia sasa : atampenda mkewe,atakuwa na mipango mingi ya maendeleo,ataheshimu familia na kuwa muaminifu,hakuna tena kubadilisha wanawake kwa sababu kipato kimepotea.

WANAWAKE SASA

akiwa na kipato kizuri : ataheshimu ndoa yake,atafurahia maisha,ataheshimu familia yake na kuitunza,hababaishwi na mwanaume yeyote,wanaume watamuongopa kujipendekeza.

Akiwa amefulia sasa hana kipato : ataanza kujirahishisha,tamaa zitakuwa mbele,wanaume wata take advantage kumtongoza,ataanza kuchepuka,ataanza kudharau familia na mumewe.

SOLUTION : kama mume una kipato ebu muachie mkeo yeye awe nazo awe na pesa nyingi awe tajiri wewe kuwa kawaida kuepusha tamaa zisikunyemelee,na kwa mkeo pia atakuwa hatembelewi na tamaa na majaribu ya aina hiyo mtaishi kwa amani sana.

Sio kwa wote,chukulia poa.

Wanaume na wanawake tupo tofauti sana.
Wewe ni me au ke ?
 
Back
Top Bottom