Picha: Huyu ndiye Mbowe tunayeambiwa kuwa alilewa chakari akabiringika kwenye ngazi ila hana jeraha lingine zaidi ya kifundoni alipovunjika

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Siandiki mengi ila najua mnaelewa kuwa mtu aliyelewa kisha akaanguka bila break hadi akavunjika kifundo cha mguu (Sijui alikuwa kavaa high hills?) Anakuwa katika hali gani hasa usoni na kichwani (Au labda alikuwa kavaa helmet).

Kama Mbowe alikuwa kalewa chakarii basi bila shaka alibiringika kwenye ngazi. Cha ajabu huyu mlevi chakarii hana jeraha lolote usoni ambapo naamini alikuwa amepiga kichwa chini wakati anaanguka kilevi chakarii.

Kwa hii picha tu mimi naendelea kuamini kuwa Mbowe alikamatwa akavunjwa kifundo cha mguu kwa makusudi kabisa.

Mimi ni jasusi na hapa polisi na watekaji walifeli jambo moja kubwa sana. Kukamilisha ushahidi wa kimazingira!

Niwashauri tu CCM na MATAGA na POLICECCM! Please play smart! Play smart to capture the audience!

IMG_20200612_201517.jpg
Screenshot_20200612-202817_Samsung Internet.jpg
 
Kuanguka sio lazima uviringite, unaweza ukajikwaa ngazini mguu ukavunjika.

Hata bafuni unateleza unaangukia utosi pasipo jereha unaukata.

Kikubwa tunachotaka ni ushahidi wa kueleweka kwamba alidanganya au jeshi linadanganya.
 
Wafuasi wa CCM wanajidanganya jeshi haliwezi kutoa taarifa isiyo ya kweli..lakini linaweza tena saana.

Chadema nao wanadhani Mbowe hawezi kudanganya...anaweza tena saana.

Kwangu afadhali jeshi limetoa room kwa yeyote mwenye ushahidi autoe.
 
Kuanguka sio lazima uviringite....unaweza ukajikwaa ngazini mguu ukavunjika.

Hata bafuni unateleza unaangukia utosi pasipo jereha unaukata.

Kikubwa tunachotaka ni ushahidi wa kueleweka kwamba alidanganya au jeshi linadanganya.
Mlevi chakarii hajawahi kujikwaa akaanguka kistaarabu. Lazima ungeona hata fizi zimevimba maana lazima angegonga uso chini! Hivi unamjua mlevi chakarii wewe?
 
Hopeless kabisa kawadanganye wanasaccos wenzio huko! Mshauri aache ulevi na ufuska umri wake umeenda. Eti mkabidhiwe nchi nyinyi kwa tabia hizi za kilevi!!?
Nimekuonyesha jinsi jeshi lako lilivyo utopolo!
 
Mlevi chakarii hajawahi kujikwaa akaanguka kistaarabu. Lazima ungeona hata fizi zimevimba maana lazima angegonga uso chini! Hivi unamjua mlevi chakarii wewe?
Acha uongo usilazimishe! Nenda katangaze vifo vya Corona huko mwanasaccos!!
 
Back
Top Bottom