Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,864
15,311
Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe.

Piga mateke ngumi kwa fujo alete hela sio kukaa home amechomekea suruali kama mwanaume kumbe mdoli tu fukuza hapo hana maana
 
Waangalie Michelle na Barack Obama walipo leo hii. Walianza hawana kitu maskini wa kutupa lakini leo wanakula matunda ya penzi lao la ukweli matunda ya jasho ambalo wamechuma pamoja. Hizo tamaa zenu na mapenzi yenu FAKE zitawapeleka pabaya.
 
Wanaume WA Sahiv sio wale wa zamani jombaaa,
Wanaume hawataki kuvuja Jasho, mwanaume muda wote yupo laini laini kama maini.
Nendeni jando jombaaa, mwanaume wa ukweli unatakiwa utahiriwe bila ganzi upo?
 
Waangalie Michelle na Barack Obama walipo leo hii. Walianza hawana kitu maskini wa kutupa lakini leo wanakula matunda ya penzi lao la ukweli matunda ya jasho ambalo wamechuma pamoja. Hizo tamaa zenu na mapenzi yenu FAKE zitawapeleka pabaya.
Huyo mama huwa ni kipensi suruali, sijui hata kama ana mume maana ni katili kwa maandiko yake na she does not sound as a woman, she is not humble halafu hana respect kwa wanume, yeye anawaza pesa tu na thamani ya mume kwake sio utu wala upendo bali ni pesa hata kama ni ya ushirikina au ya wizi

I am not trying to judge he in any ways ila najaribu kusema ambacho nakisoma toka kwake
 
Bushmamy kazana mwaya kutafuta pesa, lea kibenten chako....maisha yanasonga....ila kama hujaolewa ukiolewa salaleeeeee namuonea huruma huyo mume atakayekuoa ...una chuki na wanaume..sijui uliumizwa na mmoja wao ama na wewe umelelewa na single mother??? hii anger towards men imetokea wapi?? sema usaidiwe...
 
Back
Top Bottom