Uchaguzi 2020 Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi anastahili kulaumiwa katika hili, tulimshauri sana amkate Lissu, yeye akaona hana madhara

Kadoda nguku

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
332
475
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
 
Looh Ha Ha Ha 😂😂😂

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
 
Ninyi Serikali ya WATEKA NYARA, Kubambikia watu kesi zisizo na dhamana, Kutesa na kushambulia wakosoaji kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA mjiandae tu kukabidhi Ikulu kwa amani. Vinginevyo hali itakua mbaya sana sana sana.
 
Kwahiyo unamshauri apindishe matokeo. Hapatatosha
 
Ninyi Serikali ya WATEKA NYARA, Kubambikia watu kesi zisizo na dhamana, Kutesa na kushambulia wakosoaji kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA mjiandae tu kukabidhi Ikulu kwa amani. Vinginevyo hali itakua mbaya sana sana sana.
Kama wanapenda amani ni vema waachie madaraka bila vurugu. Watanzania wameshaamua. Wameschoshwa.
 
Looh Ha Ha Ha 😂😂😂

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Anakabiliwa kisisa?? Leo umekubali kuwa TL ni mpinzani wa Magufuli?? Mlisema Magu hana mpinzani vipi tena?? Mambo yanaendelea kubadilika badilika mpka siku ya uchaguz kitaleweka.
 
Walisema...Mimi Sikusema,kwani Kuna Mtu Anayebisha kuwa CHADEMA Si Chama kikuu Cha upinzani?!!
Km Sivyo,Mgombea Wake Wa Urais Si TAL?!!

CCM Haiogopi Na Haijuti Kupambana Kisiasa na TAL...

Kampeni Ya Kisayansi Imefana na TUKIELEKEA DURU lifuatalo Kwa Kujiamini na wale WANACHAMA MILIONI 17 Nchi Nzima.....

Muda UTAONGEA!!
 
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami

Hivi kwa nini unahamasisha ujinga? Amkatae mtu bila sababu kwa sababu tu anaogopa ushindani? Wewe vipi weye huya haya?
 
Looh Ha Ha Ha

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Wanachama milioni 17?
Hao ni wanachama au mnahesabu majani ya miti?
Kwa taarifa yako,daftari la wanachama hai wa mbogamboga ni milioni 4.8.
 
Looh Ha Ha Ha

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Mimi ni mmoja kati ya hao wanachama wa CCM. Ila kamwe hatuwezi kuendelea kuwachagua CCM milele. Wanatuona kama mtaji wao kisiasa. Mimi na familia yangu tumeamua kura ni kwa LISSU. Ashinde asishinde ila tutamchagua kuongeza kura
 
Looh Ha Ha Ha 😂😂😂

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Wanachama m17?
Usisahau Kuna wanaochukua kadi za chama ili wapate ajira serikalini na haki zingine, lkn siyo wanachama wa kweli. Pia Kuna mamluki wa upinzani humo. Wote hao siyo wapiga kura wa ccm
 
Looh Ha Ha Ha 😂😂😂

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!

Ikidhihrika kuwa ccm ina wanachama hai 5m nipigwe ban ya maisha hapa jf.
 
Walisema...Mimi Sikusema,kwani Kuna Mtu Anayebisha kuwa CHADEMA Si Chama kikuu Cha upinzani?!!
Km Sivyo,Mgombea Wake Wa Urais Si TAL?!!

CCM Haiogopi Na Haijuti Kupambana Kisiasa na TAL...

Kampeni Ya Kisayansi Imefana na TUKIELEKEA DURU lifuatalo Kwa Kujiamini na wale WANACHAMA MILIONI 17 Nchi Nzima.....

Muda UTAONGEA!!
Wakati akiwa katika peak ya kupendwa alipata kura milioni 8 tu! Leo baada ya kutesa watu kwa maelfu, kuua watu lukuki, kutumbua watu kwa uonevu, kutesa watu kwa upendeleo, kukandamiza vyombo vya habari ndio utegemee apate kura milioni 17 hahahaha....! Haitatokea Duniani. This time atapata milioni tatu tu !
 
Looh Ha Ha Ha

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Hivi hao wanachama wa Ccm million 17 ndio munajumlisha na vile vitoto vinavyojaa kwenye mikutano yenu?Kama nihivyo basi munabakiwa na wanachama kama 1.7 million wenye uhalali wakupiga kura.
 
Looh Ha Ha Ha

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Hivi hao wanachama mil.17 ni pamoja na chipukizi au?
 
Looh Ha Ha Ha 😂😂😂

Hakuna MwanaCCM mwenye kukijua CHAMA akaPOST kiuwoga hivyo.....

TAL Ni Mpinzani Wa Kisiasa Wa CCM na Anakabiliwa Vyema Kisiasa....

Nakukumbusha Tu,Kampeni Za Kisayansi zimedhihirisha UWEPO wa Wanachama Wa CCM Milioni 17 Nchi Nzima.....

Hawa ni Mtaji USIODODA.....

Endelea Kujifurahisha.Kalaghabaho!!!
Labda kama mahesabu na kina Nyerere, karume, Kawawa, mkapa, Kinjeketile nk
 
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
Lissu ni mwepesi tu kwa wenye maarifa na elimu kubwa.

Ukiwa mtu ambaye huna tabia ya kujiongeza kimaadifa utamuona Lissu kama ana uwezo mkubwa lakini ukiwa na maarifa utamgundua ni wa kawaida tu.

Serikali ya awamu ya tano ipo kisayansi zaidi na haimpi nafasi ya kuwajaza uongo watu, hoja zake zinajibiwa kwa wakati ule ule zinapotolewa.
 
Back
Top Bottom