halotel

Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
  2. Gibeath-Elohimu

    JamiiForums Tanzania Halotel, Network yenu leo ina shida gani?

    Enyi mtandao wa halotel, network yenu leo haisomi kabisa. Shida ni nini au tatizo ni katelephone kangu.Au ndo maboresho ya vifurushi. Naomba muongozo wenu katika hili.
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

    Kwa mjibu wa TCRA, mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021. Pia mitandao itawatarifu watumiaji wake mabadiliko hayo. Baadhi ya mitandao unachanganya taarifa hizo kwa mfano rejea hapa. Vodacom Tanzania Habari, kuendelea kutoa huduma bora zaidi tutafanya marekebisho kwenye vifurushi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Halotel wameshikilia hela yangu nimekusudia kwenda kushtaki

    Nilimtumia mtu fedha kutoka kwenye akaunti yangu ya halopesa Ile hela haikufika ila kwenye akaunti yangu wakaikata! Niliwasiliana na huduma kwa wateja bila mafanikio! Ni wiki sasa ile hela bado hawajanirejeshea! Wadau ninataka kwenda kuwashtaki.
  5. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi Halotel mna shida gani?

    Kwa muda sasa nimekuwa ninaexperience tatizo la internet, muda mwingi network iko slow na saa nyingine kunakuwa hamna kabisa network. Imekuwa kero sana huwezi kabisa kuenjoy kusurf mtandaoni, katika dakika 10, dakika 8 internet iko down na dakika 2 ndio angalau inafanya kazi. Hali ikiwa hivi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Internet halotel ni zero

    Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Halotel na kifurushi cha Royal

    Uki _ dial *102*01# ujue salio lako, DAKIKA hazionyeshwi. Wanaonyesha Mb, na SMS. Kwanini dakika hazionyeshwi? Ni system failure au ni makusudi? kama ni makusudi, Wanaficha nini kama siyo kuwaibia wateja? Halotel rekebisha hilo!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Halotel msikasirike, mjitathimini na call center yenu

    Nimewapigia kuwatarifu kuwa kuna tapeli anataka kunitapeli kwa kukopi na kupaste ujumbe wenu wa Halo Win akitumia simu 0627205377 Mkaniambia niwatumie no iliyotuma ujumbe nawapigia hamtaki kupokea kwa hasira sasa nawatumia kupitia jamiiforum namba iliyotuma ujumbe hii hapa 0734269327 na Mimi...
  9. Wangari Maathai

    JamiiForums Tanzania Sim banking ya Equity kwa mtandao wa halotel hakuna

    Bank ya Equity haina option ya kutuma hela kwenda /kutoka bank kupitia mtandao wa Halotel...usumbufu Sana!. Wahusika angalieni Hili suala!
  10. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wanaotumia Mtandao wa Halotel Basi Wana tabu siyo Internet wala Huduma kwa Wateja

    Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma. Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Halotel Tanzania jaribuni kuwa na aibu walau. Mnaibia wateja waziwazi kabisa!

    Masikitiko yangu kwa hawa Halotel kwa wanalowafanyia wateja wao sio jambo jema hata kidogo. Nashindwa kuamini mtandao unashindwa kudownload hata app ya 12mb inabaki kuload tu ila cha kushangaza zaidi nashuhudia data zikikimbia bila kuelewa wapi zinaenda na wakati task ndogo kama ya kudownload...
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Leo nimevunja rasmi line ya Halotel

    Kama kuna mtandao wezi wa bundle za internet basi halotel ni kiboko. Unaweza jiunga kifurushi cha GB kadhaa usiingie YouTube wala Instagram, uingie JamiiForums kwa masaa matatu ushangae kifurushi kimeisha. Tena hapa nilipo mtandao wao uko slow kudownload mb 20 tu unaweza chukua nusu saa. Ni...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je, utaratibu unaotumika kubadilisha laini ya kawaida kuwa ya 4G kwa mitandao mingime ni sawa na huu wa Halotel?

    Habari za wakati huu, Leo nilienda katika duka la halotel kubadilisha laini yangu kuwa ya 4G. Sasa kutokana na simu janja yangu ninayoitumia ilikua ni ya laini moja ikabidi hii laini ya halotel niiweke kwenye simu ya hizi ndogo wengi wanaziita kiswaswadu kutokana na wakati huo nilikua sina...
  14. karim jr

    JamiiForums Tanzania Huduma ya HaloYako kutoka Halotel

    Salaam wakuu, Tafadhali naomba niulize kama miongoni humu kuna watu waliowahi kutumia huduma ya Haloyako kutoka Halotel. Huduma hii inahusisha kutunza pesa na kupokea riba kidogo, kutoka haloyako. Naomba kujua kama kuna wadau wameweza kutunza na kupokea pesa zao bila matatizo. Naomba uzoefu...
  15. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa halotel umeanza kufyonza data bundle kama kunguni

    Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu, Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi. Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
  16. P

    JamiiForums Tanzania Internet ya Halotel ni matatizo!

    Halotel wana matatizo makubwa na huduma yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii. Ukipiga simu Customer Care...
  17. snipa

    JamiiForums Tanzania Kwanini siipendi Halotel Tanzania

    Halotel mnawahi sana kureplace number. I bet with you kwamba within a month or two mnakuwa mshagawa namba kwa mwingine kama muhusika haitumii, sielewi mna matatizo gani. Unakuta umesajili simcard mpya na kisha unatafutwa na watu wanaodai wanaifahamu hiyo number ikiwa ni mtu wao Wa karibu...
Back
Top Bottom