Internet ya Halotel ni matatizo!

Hukumuzuku

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
6,676
5,024
Halotel wana matatizo makubwa na huduma yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii.

Ukipiga simu Customer Care kila mara wanakusomea ile standard script yao inayosema tatizo itakuwa ni simu yako na suluhisho pekee ni uzime simu halafu uiwashe. Hamna kitu! Cha ajabu nikibadilisha sim card nikaweka ya Vodacom mfano, kasi ya internet inabadilika kuwa kubwa.

HALOTEL MMEFELI! KILA SIKU NI MALALAMIKO YA WATEJA KUHUSU HUDUMA YENU YA INTERNET. PIA NI WABAHILI WAKUBWA HATA UKITUMIA LAKI MOJA KWA WIKI KUNUNUA KIFURUSHI CHA MWEZI HAMNA MFUMO WA KUWAGUNDUA NA KUWAZAWADIA WATEJA WENU WAKUBWA. SHAME ON YOU!
 
Jamaa ni wahuni sana, nilikuwa fan wa Kifurushi cha Royal bundle 10,000 kwa mwezi ila kutokana na upuuzi wao wa kukata speed baada ya GB 3.5 za offer kuisha unateseka mwezi mzima na speed ya kobe.

Hapo unakuta zile 3.5GB zinaisha ndani ya week la kwanza tu kama ni mtu wa instagram huenda hata siku 4 usimalize kisha unabakiwa na siku 26 za mateso. Nimerudisha majeshi Zantel anyday! Japo vocha ni za tabu ila mawakala wenye vimashine vya Selcom na NMB wanatusaidia.

Fuckq all Tanzania Telecommunication Networks except for Zantel! Big up sana!
 
Zantel ?
Hapa ninaandika huku nikitumia Halotel Value for Money Tshs. 1,000/= unapata 1 gb kwa wiki, Tshs. 5,000/= unapata 7 gb kwa wiki Zantel hata kupatikana sijui mpaka huende wapi...

Hii inapelekea kuhisi kwamba huenda huu uzi umeanzishwa kwa madhumuni ya self promotion
 
Niliambiwaga nchi hii kuna idara inaitwa "Tume ya mlaji" naomba iwe inatusaidia sisi walaji,nchii hii huduma zote ni za shida ,sio za kuaminika kabisa.
 
vocha za zantel mbona zinapatikana, pia unaweza ukanunua kupitia tigo pesa, but hiyo Halotel wako poa sana pia kupata 1gb lazima uende halo pesa.
Zantel ?
Hapa ninaandika huku nikitumia Halotel Value for Money Tshs. 1,000/= unapata 1 gb kwa wiki, Tshs. 5,000/= unapata 7 gb kwa wiki Zantel hata kupatikana sijui mpaka huende wapi...

Hii inapelekea kuhisi kwamba huenda huu uzi umeanzishwa kwa madhumuni ya self promotion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani inategemea unatumia kifurushi gani. Kuna vifurushi ukivuka kiasi fulani cha matumizi (mfano unlimited bundles) kasi inashuka sana baada ya hapo. Haisaidii kubadili simu maana restriction ipo kwenye line yako.

Binafsi natumia bundles zao za 4G, nafurahia huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halotel wana matatizo makubwa na hudumua yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii. Ukipiga simu Customer Care kila mara wanakusomea ile standard script yao inayosema tatizo itakuwa ni simu yako na suluhisho pekee ni uzime simu halafu uiwashe. Hamna kitu! Cha ajabu nikibadilisha sim card nikaweka ya Vodacom mfano, kasi ya internet inabadilika kuwa kubwa.

HALOTEL MMEFELI! KILA SIKU NI MALALAMIKO YA WATEJA KUHUSU HUDUMA YENU YA INTERNET. PIA NI WABAHILI WAKUBWA HATA UKITUMIA LAKI MOJA KWA WIKI KUNUNUA KIFURUSHI CHA MWEZI HAMNA MFUMO WA KUWAGUNDUA NA KUWAZAWADIA WATEJA WENU WAKUBWA. SHAME ON YOU, YOU GREEDY BASTARDS!
badili preferred network type iwe 3g only
 
Muda si mrefu watakua vodamajanga,Haloytel wameanza kufeli,tatizo hakuna dawati la kuyashughulikia haya makampuni,laiti kungekuwa na jnicho linalowatazama,wangeshika adabu.
 
Mtandao nchi hii ni vodacom pekee. Hiyo mingine ni takataka.

Nina simu 2, natumia laini 3, simu moja ina laini 2, vodacom na airtel, simu ya pili ina laini moja halotel, zote 4G.

Vodacom speed yake sio mjini wala vijijini, labda kuwe hakuna mtandao wa Vodacom.

Hapa Dar pekee 4G ya vodacom huwezi kuilinganisha na 4G ya mtandao wowote ka speed. Hapa Dar 3G ya vodacom ina seed zaidi y 4G ya airtel a halotel, kuna jamaa yangu anatumia voda na tigo ananiambia 3g ya voda ina kasi kuliko 4g ya tigo pia.

Huko mikoani ni the same. Vodacom haina mfano kwa kasi ya internet na ubora wa huduma.
 
Makampuni ya Mitandao yapo mengi sana,kwani umelazimishwa kuwa Halotel?
 
Mtandao nchi hii ni vodacom pekee. Hiyo mingine ni takataka.

Nina simu 2, natumia laini 3, simu moja ina laini 2, vodacom na airtel, simu ya pili ina laini moja halotel, zote 4G.

Vodacom speed yake sio mjini wala vijijini, landa kuwe hakuna mtandao wa Vodacom.

Hapa Dar pekee 4G ya vodacom huwezi kuilinganisha na 4G ya mtandao wowote ka speed. Hapa Dar 3G ya vodacom ina seed zaidi y 4G ya airtel a halotel, **** jamaa yangu anatumia voda na tigo ananiambia 3g ya voda na kasi kuliko 4g ya tigo pia.

Huko mikoani ni the same. Vodacom haina mfano kwa kasiya internet na ubora wa huduma.
ukweli mchungu huu ila subiri waje wakupinge, net ya Voda iko vizuri sana, ndio maana bei za bando zake zimesimama, you get what you pay for
 
Nadhani inategemea unatumia kifurushi gani. Kuna vifurushi ukivuka kiasi fulani cha matumizi (mfano unlimited bundles) kasi inashuka sana baada ya hapo. Haisaidii kubadili simu maana restriction ipo kwenye line yako.

Binafsi natumia bundles zao za 4G, nafurahia huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaa hata mimi bandle za halotel za 4G zinanisaidia, juzi wamenipa GB 10 kwa elf 5 siku saba. lakini siku 7 zimeisha nikajikuta nimetumia kama G3 pekee, sasa nina mpango wa kujiunga kwa mwezi. Halotel kwa kweli wapo vizuri kwenye gharama na uaminifu hawana ile ya kushtukia kifurushi kimeisha ulichotumia hukioni
 
Back
Top Bottom