Asanteni Halotel sasa kama mwanzo

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,448
2,289
Mambo murua halotel vifurushi vimerejea mahali pake nilitseka sana siku chache hizi yani movie nilishndwa kabisa kuzipakua sasa swaaaaaaaafi apo kwenye usiku pack ndio mahali pangu zaidi Leo ni kushusha movie adi kieleweke
IMG_20210415_191711.jpg
Screenshot_20210415-191559.jpg
 
wamerudisha kifurushi cha usiku ila network yao saivi ni mbovu kupita maelezo bora tu usijisumbue kununua utaingia hasara
 
Haloteli internet ya usku GB 5=1500, TTCL GB 10=1500 RUDI NYUMBANI KUMENOGA
Ttcl nilpo network 0 mwendo wa kobe ila halotel fresh kabisa alaf juz kati nilichek menu ya ttcl usiku pack sikuona au nao wameludsha saiz
 
Back
Top Bottom