Kwanini siipendi Halotel Tanzania

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,215
1,656
Halotel mnawahi sana kureplace number.

I bet with you kwamba within a month or two mnakuwa mshagawa namba kwa mwingine kama muhusika haitumii, sielewi mna matatizo gani.

Unakuta umesajili simcard mpya na kisha unatafutwa na watu wanaodai wanaifahamu hiyo number ikiwa ni mtu wao Wa karibu alikuwa anatumia.

Imekuwa ni kero.

Mjitathmini kuna mitandao yapita within a year number wanakuwa hawajareplace.
 
Kwa data ni bora sana

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Halotel ni mtandao was kishamba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza uwe wa kishamba kweli ila kama uko cost conscious ukijaribu kuutumia nakwambia huwezi acha. Nilijaribu kwa sim banking, kwa kweli hawajawahi kuniangusha. Unafanya miamala ya kibenki with zero credit, sijawahi kuona. Kuna wengine bila salio la Ths 500 hata menu haifunguki.
 
Voda pekee ndio wanatabia hiyo...
Unaweza uwe wa kishamba kweli ila kama uko cost conscious ukijaribu kuutumia nakwambia huwezi acha. Nilijaribu kwa sim banking, kwa kweli hawajawahi kuniangusha. Unafanya miamala ya kibenki with zero credit, sijawahi kuona. Kuna wengine bila salio la Ths 500 hata menu haifunguki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha wenzako wapige hela.. we unapumua wenzio wanaishi halotel mtandao bomba kabisa
 
Back
Top Bottom