Halotel, Network yenu leo ina shida gani?

Wana shida sana. Leo nimelazimika kujiunga Airtel ili niingie online wakati nina gb 5 za halotel
 
Enyi mtandao wa halotel, network yenu leo haisomi kabisa. Shida ni nini au tatizo ni katelephone kangu.Au ndo maboresho ya vifurushi.

Naomba muongozo wenu katika hili.
Mkuu hata Tigo nao kwenye Tigo pesa kumefungwa naona wanabadirisha mifumo ili kuendana na vifurushi vipya
 
Halotel kama hawatorekebisha bado zao basi mpaka jumamosi nawahama rasmi na line yao navunja wapuuzi sana hawa mavetenamu
Ila hii mitandao ya simu kwenye bando imuea bendi aisee sijaona nafuu yoyote ile kwa marekebisho waliyofanya dooooh.
 
Halotel wmeniudh xn wajinga wkubwa hawa an wmepndisha gharam ya vfurush yan 1000 unapew mb 420 qwel jaman??
 
Back
Top Bottom