Wanaotumia Mtandao wa Halotel Basi Wana tabu siyo Internet wala Huduma kwa Wateja

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma.

Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo, baada ya hapo ni mtandao kuwa Mwendo wa kinyonga, kwakeli naamua kuitumia kwa sababu ya Bando wanatoa kubwa sana, na bei ndogo lakini naona inataka kunishinda sasa,

Wahusika wapo kimya, tu
 
hawa jamaa walianza vizuri ila naona Kama wana yumba.
 
Inategemea na eneo ulilopo,mimi iko full 4G na kasi sana ya mtandao,aina ya simu unayotumia inaweza kuchangia spidi ndogo ya net..
Screenshot_20200629-171319.jpg
 
Inategemea labda eneo na simu yenyewe, mie halotel ni kwa ajili internet tu na haina shida yeyote, labda hiyo huduma kwa wateja kwa siku nimejaribu nikashindwa.
 
Hapa nina plan ya officiate Sim card yangu ya Halotel iwe ndo First number not only for data but coverage, Halotel iliwahi niokoa Sehemu ambapo sikupata coverage ya mitandao ila halotel iliniamshia kabisa 3G
 
ilikuwa poa ila kwa siku za karibun inazingua jamaa yupo sahihi
Mie kuna kipindi ilikuwa inasumbua nikajua ni eneo tukawauliza lakini baadaye safi, unajua hata airtel kunasehemu inasumbua hata makongo tu hapo
 
Mie kuna kipindi ilikuwa inasumbua nikajua ni eneo tukawauliza lakini baadaye safi, unajua hata airtel kunasehemu inasumbua hata makongo tu hapo
mie pia nilikuwa naiamni sana halotel naona nao wanaanza kujisahau
unaweza toka posta ukafika kariakoo internet bado inaload
 
Back
Top Bottom