halotel

Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Halotel wanaibia wateja!

    Salaam Kuna vitu siku hizi sivielewi na huu mtandao. Nimeviona mara kadhaa nikabaki kujiuliza na sina jibu. Unanunua bando la internet ila hawa washenxi wanakula bando lako zaidi ya 30% hujui limeenda wapi. Kuna watu watakuja kuniambia simu yangu kuna app zinarun kwenye background!. Hili ni...
  2. Suip

    JamiiForums Tanzania Halotel bado mnatoza tozo za serikali?

    Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
  3. Exile

    JamiiForums Tanzania Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

    Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
  4. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania CCM, Halotel na DP World wana lao

    Nimekuwa nikipokea SMS za CCM kupitia line ya Halotel Kama inavyoonekana hapo chini. Pia soma: Kumbe Halotel ni CCM?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Halotel waache uhuni wa kuwaibia wateja

    Wasalam wadau wote. Nachukua fursa hii kuitahadharisha kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kuacha kabisa hii tabia ya hovyo wanayofanya ya kuwaibia wateja wake. Kampuni hii ina tabia moja ya hovyo sana kwamba wakiona una GB nyingi kwenye simu yako na unataka kuongeza tena salio kwa kuongeza...
  6. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Halotel MIFI (router) 4G

    Ni router inayotumia single sim card ya Halotel, ipo na box lake ila imetumika kidogo Bei Tsh 40000 Location: Mwanza Charger haina, ila inatumia charger ya simu Halotel wanasema kifaa hiki kina connect devices kumi UPDATE; nilishaiuza
  7. Mudi_kidato

    JamiiForums Tanzania Halotel wanatuibia sana

    HABARI wana jf kupitia umoja wa frilenca dar zone ya kinondoni nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria kuhusu kampuni ya halotel viettel plc hii kampuni tunaifanyia kazi ya kusajili line zasimu na ilikuwa tunapata mshahara kupitia camishion tena kwa % ukisajili mteja unapata %60 yamatumizi ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Boomplay Yaingia Makubaliano Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

    Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania. Ushirikiano huu...
  9. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Halotel Kifurushi cha Kimataifa

    Wadau niaje? Asee hawa halotel nimejiunga kifurushi cha kupiga German na UK ili niongee na wadau wangu wa huko ila hela wamekata na nikipiga wananiambia namba haipo. Mnaopigaga hizo nchi hebu nipeni maujafanja maana hata nikipiga customer care yao hawapokei simu. Sema nini, sisi wabongo...
  10. MHP

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Halotel wanafanya wizi wa kutisha kwenye bundle za wateja kuanzia leo saa 6 mchana tarehe 05.01.2023

    Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha. Kwa MB 490 ukiangalia video...
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kumbe Halotel ni CCM?

    Halotel Ni CCM
  12. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Halotel nimewavumulia vya kutosha, kwaherini

    Niliwaamini Sana niliwavumilia Sana. Najua nikiangalia salio nimechangia kampuni yenu na vinatosha. Narudi nyumbani. Inatisha, nimekuwa nikununua airtime tena via halopesa, nimefanya hivyo kw mtindo wa si chini ya 8-9000 Kwa siku..... Kwa mwezi mzima haipungui 9000*30 =270,000 Kwa uchache...
  13. East

    JamiiForums Tanzania Halotel hiki ni nini?

    Hii mitandao jamani kifurushi ni cha elf moja, nimewasha data kama dakika mbili kuzima naletewa ujumbe huu. Hapo nimejiunga kwa elf moja na sio elf tatu
  14. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Postpaid ya mtandao wa Voda, Halotel, Airtel

    Kichwa cha habari chajieleza, naomba mwenye kufahamu gharama za kujiunga postpaid ya mitandao tajwa hapo juu anisaidie chati yake.
  15. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

    Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
  16. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Halotel imekumbwa na nini, si mseme msaidiwe?

    Kampuni hii haipendagi kusema Chochote na Wala hamuna Kawaida ya kutuma mimeseji miiiingi kama makampuni mengine. Kuna jambo lipo kimyakimya muwe mnasema. Yaani kama ni kukakata mnakata tu, yaani inaitwa kukata juu kwa juu furushi zenu. Sawa nimekubaliana na Hilo. Je, wiki nzima Sasa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Halotel ni wezi, wakimbieni!

    Nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa mtandao wa Vodacom. Baadae wakaja kupandisha bei za vifurushi vyao kwa kiwango kikubwa. Niliendelea kutumia Vodacom kwa matumizi yangu makubwa na kidogo laini ya Halotel. Baadae nikaja kushtuka Vodacom ukiwa mteja mzuri wanakupandishia bei, vifurushi vyako...
  18. cold water

    JamiiForums Tanzania Halotel wekeni mtandao wenu vizuri, mtandao unasumbua sana

    Tangu Jana hali sio shwari huku mkoani,bando zipo higher na mtandao wenu wa kimagumashi mmeona zile mb 330 kwa tsh.500 tunafaidi sana? Basi tunalipa izo higher bando lakini akikisheni mtandao wenu unakuwa vizuri basi,sio ela zetu mnapenda mtandao upo slowly."Haki sawa". Mtandao...
  19. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na Voda!

    Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu. Yaani mtu hujajiunga na huduma yoyote lakini unashangaa salio limekatwa. Hivi wakikata hizo mia mia au mia mbili kwa watu laki 1 si wanapata faida sana? Kwanini wanafanya...
  20. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Halotel mnakwaza sana

    Kwa Sasa mnakwaza Sana. Inaelekea mmevimbilwa. Tunaomba njia tupite, MTUPISHE. Ni Muda Sasa mtandao huu kotekote unasumbua kama kuelekea kuzama. Hamtoi taarifa yyt tukakaa na tahadhari. Kila mnachojua wewe kinasimama. Nina taka kufanya Chochote kile mtandao una loading loading...
Back
Top Bottom