halotel

Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.

View More On Wikipedia.org
  1. beatboi

    JamiiForums Tanzania Nataka nimfungulie kesi aliyejitambulisha kama Customer care wa Halotel kwa kunitukana bila sababu

    Habari zenu watoto wa mama (SSH) Nimejikuta wiki nzima imeharibika baada ya kupokea matusi kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha ni mtoa huduma kwa wateja (customer care). Nilikuwa nimepumzika zangu majira ya asubuhi ghafla nikapokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anatoka kitengo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Website ya Halotel haifunguki!!

    Habari Najaribu kufungua website ya Halotel www.halotel.co.tz haifunguki. Hii error ni kwangu tu au? Kama wahusika wamo humu fuatilieni. SSL imepitwa na muda nadhani ndiyo tatizo ila Kuna option naweza kuingia insecure lakini hapa hakuna inataka Reload lakini haisaidii chochote
  4. N

    JamiiForums Tanzania Halotel kwisha kazi kwenye internet

    Jamaa walikuwaga poa sana kwa unafuu wa vifurushi na speed ila kwa sasa ni disaster hawafai kabisa, waepuke waepuke waepuke speed kama konokono
  5. Capital

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kukomesha uhuni wa Halotel

    Wakuu, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Wiki mbili zilizopita nilikosea kutoa muamala wa pesa kwa wakala wa halopesa kutoka kwenye line yangu ya halotel na dakika hiyo hiyo nikawapigia huduma kwa wateja na wakaisimamisha na kisha wakanitumia namba ya uthibitisho. Na maelezo niliyopewa ni...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?

    Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi. Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
  7. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati wizi unaofanywa na Halotel

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Halotel katika menu ya weekly mega bundle ambayo ulikuwa ukipatiwa dakika 30 mitandao yote dakika 30 halotel na mb 1000 waliamua kukipunguza mpaka kufikia mb 600 kwa wiki. Kama hiyo haitoshi jana jioni waliamua kudanganya watumiaji wake kwa kuandika kwamba kwa...
  8. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahisi kuibiwa na wahudumu wa Halotel

    Bila shaka mnaendelea na maandalizi ya sikukuu!Mida ya saa nne leo asubuhi kuna mtu kaniomba vocha nikaona isiwe kesi nikaingia kwenye Mobile App yangu ya NMB ili nimnununue mda wa maongezi mhusika. Nimeingia nikamtumia elfu 10 kama mda wa maongezi ili ajiunge mwenyewe,Nmb wakanipa taarifa hela...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Maumivu makubwa: Halotel pia wametoa huduma hii muhimu

    Kikawaida halotel lets say umeweka gb 1 ya week uka top up tena in 3 days inajazia kifurushi cha kwanza kama kilikuwa hakijaisha na siku ya ku expire inasogea mbele, jamaa wamekitoa. Hivi hizi vurugu zote ni kodi au kukomoa watu watoke online?
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Huku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kutumia Internet ya halotel?

    Yaani mtandao utopolo haswa, nimeunga GB 3 za wiki yaani internet iko slow sana mwendo wa kobe. Hivi wenzangu mnawezaje kutumia mtandao huu? Narudi zangu Zantel
  12. D

    JamiiForums Tanzania Halotel anzisheni special thread

    Halotel anzisheni special thread tuweze kuwafikia na kutoa malalamiko yetu dhidi ya huduma zenu mbaya. Mfano. Ukipiga simu huduma kwa wateja haipokelewi. Unaweza kununua bando ikachukua muda mrefu kabla huduma haijarejeshwa. Kumbukeni wengi tulihamia halotel baada ya kampuni kubwa kujisahau...
  13. The Eric

    JamiiForums Tanzania Halotel huduma kwa wateja wana huduma mbovu mno

    Halo, Na niseme kwamba wahudumu wa mtandao wa simu halotel kitengo cha kupokea simu 100 huduma kwa wateja huwa wana huduma zisizo ridhisha na mbovu kuwahi kutokea. Sijui wamewaokota wapi hawa wahudumu wao wabovu namna hii, Kwanza wanatujibu vibaya wateja na wanafoka na mteja hata awe...
  14. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali wafuatilie huduma za mitandao nyingi ni utapeli

    Kipindi cha nyuma kidogo nilijiunga huduma yao ya halo quiz mtandao wa halotel bila kuijui vizuri baada ya muda mrefu jan nikaweka salio ili nijiunge kifurushi natumiwa sms salio limekatwa basi nikaona hii huduma ngoj nijitoe Sasa kilichonileta hapa mpaka naandika uzi huu jana niliingia menu ya...
  15. Sam Drive

    JamiiForums Tanzania Halotel, huu ni utapeli? Sielewi kinachoendelea

    Siku ya tarehe 17.7.2021 nilitoa pesa kimakosa kwa kukosea namba ya wakala. Nikapiga simu wakasema wanashughulikia irudi. Nisubri masaa 72. Baada ya masaa hayo message ikaingia kwamba pesa imerudishwa kwa wakala. Sasa baada ya hapo nimeendelea kupiga simu majibu yanayotoka ni 1. Kusubiri...
  16. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Kuripoti utapeli Halotel

    Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli. Piga *148*90# kisha chagua lugha. Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
  17. Viol

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na Halotel, wamekuwa na huduma mbovu kwenye Halopesa

    Sijui ni kwangu tu leo siku kama ya nne halotel wamekuwa na huduma mbovu kwenye Halopesa. Naona kuna baadhi ya watu pia wanalalamika, unaweza kufanya muamala au kulipia bill halafu hawaleti msg za muamala na hela inachukuliwa. Ukipiga hawapokei wanakuweka kinanda hadi simu inajikata.
  18. The MoNA

    JamiiForums Tanzania Halotel hamuwezi kufidia hasara (kama mmepata) kwa mtindo huu

    Ndugu wana Jamuhuri ya Muungano, Kwa mnaotumia halotel limewakuta hili? Wiki iliyopita mpaka hii tuliyopo kuna uhuni halotel wanaufanya. Unajiunga GB 1 ndani ya dakika 30-60 unapata na huu ujumbe; Mpendwa mteja! Umemaliza kifurushi chako cha intaneti. Kuendelea kutumia intaneti jiunge tena...
  19. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kwa hili wazo Vodacom,Tigo,Airtel na Halotel Mnasemaje? Tufaidike sote

    Wadau. Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa tunapata muda wa kufikiri. Mara nyingi nikiwa nmeshamaliza kazi zangu za ujenzi wa Taifa. Nmekula na Kunywa napata angalau masaa kadhaa ya kufikiri. Nmekuja pata ideas kadhaa za namna ya kufanya kazi na haya makampuni ya Simu. Sasa wasiwasi wangu ni je...
  20. Wernery G Kapinga

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Halotel wameniibia

    Bila shaka mpo vizuri Tarehe 15 nililipia king'amuzi kupitia mtandao wa Halotel. Cha ajabu sikurudishiwa ujumbe na pesa kwenye account imeondolewa. Nikapiga simu huduma kwa wateja. Wa kwanza akaniambia system iko chini kwa hiyo itakuwa accessed baada ya muda wa dk 20 mpaka 30. Siku ikapita...
Back
Top Bottom