EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,683
Kwa muda sasa nimekuwa ninaexperience tatizo la internet, muda mwingi network iko slow na saa nyingine kunakuwa hamna kabisa network. Imekuwa kero sana huwezi kabisa kuenjoy kusurf mtandaoni, katika dakika 10, dakika 8 internet iko down na dakika 2 ndio angalau inafanya kazi.
Hali ikiwa hivi nabashiri mtaanguka vibaya sana, kuepukana na kero hizi, suluhu ni kuachana na nyinyi, mnachukua tu hela zetu lakini hamna cha maana tunachokipata kwenu.
Hali ikiwa hivi nabashiri mtaanguka vibaya sana, kuepukana na kero hizi, suluhu ni kuachana na nyinyi, mnachukua tu hela zetu lakini hamna cha maana tunachokipata kwenu.