haki

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ups and Downs katika kudai haki na uhuru

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Safari ya kudai uhuru na haki hazijawahi kuwa rahisi. Uliza kote Duniani si Afrika kusini wala Palestina. Si Belarus wala Venezuela. Kina Mandela waliitwa magaidi. Kama wanavyoitwa hivyo leo HAMAS au hata Watalibani. Panakutofautiana kwingi kunakoweza kutokea...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Watawala huwa hawajifunzi kwamba haki ikikosekana kwa muda mrefu, madhara yake huwa ni Makubwa?

    Ndugu zangu wanajamii Forums, Mimi ninaamini kwamba hakuna mtu awaye yote asiyependa kutendewa HAKI katika mazingira ambayo anajua kwamba HAKI hiyo ni ya muhimu katika kipindi husika au kwa vipindi vyote kulingana umuhimu wa HAKI hiyo kwake yeye na kwa wengine pia,mm ninaiona kwamba viongozi wa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa haki uhuru na maendeleo ya watu

    Wana CHADEMA, viongozi wa kitaifa. Tengenezeni MWENGE kwa jina la HAKI UHURU NA MAENDELEO YA WATU. Upangie ratiba ukimbizwe kupitia majimbo yote ya uchaguzi. Ukimbizwe na team ya walioenguliwa wenye machungu ya kutosha. MWENGE Unaenda kuziba pengo la wiki ya adhabu ya mgombea urais, na pia ni...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe adhalilisha vyama vyote vya upinzani nchini, adai havistahili kupewa haki ya kunadi wagombea wao

    Leo kwa mara nyingine CHADEMA imeidhihirishia umma kuwa ni chama cha kidikteta na isiyoheshimu misingi ya demkrasia, uhuru na haki ya kisiasa ya kila chama na kila mtanzania. Dunia yote imeshangaa tamko la Mbowe leo akisisitiza huku akitokwa na povu kwamba CHADEMA na CCM tu ndivyo vyama...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kwanini CCM idai kuwa Tundu Lissu anatoa lugha ya uchochezi pale anapoihimiza Tume ya Uchaguzi iendeshe Uchaguzi ulio huru na wa haki?

    Nimemsikiliza mara nyingi sana tena kwa makini sana mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu, mara zote amekuwa akiisisitiza Tume ya uchaguzi nchini, iendeshe uchaguzi mkuu ujao, katika njia ya uwazi, Uhuru na Haki. Amezidi kusisitiza kuwa wanachowataka Tume hiyo ya uchaguzi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba uchaguzi huu tuitunze Amani kwa kutoa haki kwa vyama vyote bila upendeleo.

    I urging (NEC) to deal with provision of Justice fairness, and respectful of decisions making. Most of NEC workers appointed by current president As well the current president is presidential candidate. Tz for now Tz for future tuitunze Amani yetu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama hamtendi haki,watu watashirikiana na yeyote anayeweza kuwasaidia kupata haki hata kama mtu huyo atakuwa ni Ibilisi

    Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu. Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao nje ya mifumo iliyopo kwasababu mifumo hiyo haitendi haki, alafu cha ajabu, nyie ndio mnakuwa wa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro, je unasemaje kuhusu hawa askari wako? Je, kwa Tundu Lissu kuwafokea hawa askari huoni anatimiza wajibu wake wa Kikatiba?

    Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM? Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda? Je, kitendo cha...
  9. JamiiForums Tanzania Waangalizi wa uchaguzi wailima barua NEC kwa kutokuwa na haki sawa kwa wagombea kuelekea uchaguzi mkuu

  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Mpaka sasa Rais Magufuli ameshakiuka kwa kiwango kikubwa sana ahadi yake ya kuwepo uchaguzi wa huru na haki. Najua alichowaza mpaka akaahidi hivyo

    Zipo ishara za wazi sana kuwa Rais Magufuli anaenda kushughulikiwa vilivyo na jumuiya za kimataifa na litakalotokea mpaka watanzania wenyewe watashangaa. Nimemsoma Dr. Christopher pahala (Huyu ni mbobezi wa mambo ya uchaguzi Afrika) anasema wazi kuwa ipo hofu Tanzania kuwa kama Zimbabwe baada...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania mabingwa wa kutetea Haki nchi za nie na kulinda Amani. Na Uchaguzi uwe huru, uwazi na haki

    Tangu tupate Uhuru na tangu zama za Mwalimu Nyerere Tanzania ilijitoa kupigania Haki kwa nchi zote zilizokua zikionewa hapa duniani. Sio tu nchi kuonewa bali hata jamii yoyote kuonewa Tanzania iliitetea jamii hiyo. Sio tu nchi na au jamii, bali pia hata mtu binafsi alipokua akionewa huko kwao...
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi huru na haki unaanzia kwenye kampeni, Polisi TZ pamoja na NEC, anzeni kumshughulikia mgombea urais kupitia CCM

    Uchaguzi huru na wa haki unaanzia kipindi cha kampeni, lakini tunaona uoendeleo wa wazi kwa CCM. Mgombea wake Magufuli kila anapopita anaomba kura kwa vitisho lakini hakuna anayehoji iwe ni NEC ama Polisi. CCM imeshirikiana na vyama vingine lakini hakuna aliyewakemea ila ikitokea upinzani...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Uhuru na Haki Haiwezi ikaleta Amani na Maendeleo ya Watu; Amani na Maendeleo ya Watu ni Tunda la Uhuru na Usawa

    Na: McWenceslaus 01/10/2020. Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua Rais, wabunge na...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Uhuru na Haki haiweze ikaleta Amani na Maendeleo ya watu; Amani na Maendeleo ya watu ni Tunda la Uhuru na Usawa.

    Na: McWenceslaus 01/10/2020. www.ccmmpya.org Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi utakuwa wa haki na uwazi – NEC

    Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Uchaguzi utakaofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye kuzingatia uwazi kwa mujibu wa sheria. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu Mhe. Mbarouk S. Mbarouk alipokuwa akihutubia Mkutano wa Wadau na Asasi...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta?

    Nina maswali lukuki najiuliza kichwani mwangu nikiwa nimetulia. Kwamba ni haki na uhuru upi. Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta. Habari za leo ndugu zangu na marafiki. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ndugu zangu siasa sio ugomvi lakini panapo bidi kuulizana lazima...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Je, Uhuru, Haki na Maendeleo vipo CHADEMA?

    Wakuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28.10.2020, hebu tutafakari pamoja hii kauli mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo. Uzi huu hautalenga kuichambua kaulimbiu hiyo bali utalenga kwenye kuangalia kama kweli kauli mbiu hiyo imekuwa ikitekelezwa kwa vitendo kwenye chama hicho kikuu cha...
  18. JamiiForums Tanzania UN: Si haki kwa watu Milioni 690 kulala njaa wakati chakula kinatupwa kila uchao

    Leo ikiwa ni maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Uelimishaji kuhusu Upetevu na Utupaji wa Chakula, Umoja wa Mataifa umetoa wito hususan kwa nchi za Afrika kuongeza juhudi na kuzichagiza sekta binafsi kuwekeza katika kupunguza upotevu na utupaji wa chakula. Katika ujumbe maalum wa siku...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mnataka haki na usawa, kwanini wanawake mmemtenga Queen Cuthbert Sendiga, Mgombea Urais kupitia ADC?

    Kwa nini wanawake mnadai haki na usawa wa kijinsia huku mnashindwa kuonyesha umoja kwenye njia mnayoipitia katika kudai usawa na ile nadhalia ya kutaka kupewa nafasi kwenye mabalaza ya maamuzi? 👉 Wanawake wanadai usawa kwenye kila jambo wanaloona wameachwa nyuma, tuzungumzie siasa na uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…