Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti.
Itumie kuleta HAKI.
Watetee wahanga wa D29, wape faraja
Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa!
ITUMIE KUITETEA TANGANYIKA ( ingawa kipengele hiki ni kigumu)
Jiepushe na upofu wa kutoona kuwa hapa HAKI inavunjwa...
Utangulizi:
Uislamu unasema hivi "ukiona uovu basi kwanza uondoe kwa mikono yako,ukishindwa kwa kauli na ukishindwa kabisa basi kwa kuchukia moyoni mwako,na huu ndio udhaifu wa imani" kwa maana yule anayechukia jambo moyoni mwake ni mdhaifu wa imani,kwasababu option ya kwanza na ya pili ndio...
Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika
Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano badala ya kugeuka kuwa wachochezi kwa kutoa kauli zenye viashirio vya uchochezi wa kuligawa taifa.
Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
Kitabu cha Torati kinachosomwa na dini kuu 3 duniani yaani Uislamu, Ukristo na Uyahudi kina hadithi ya kusisimua sana kuhusu nabii mmoja wa kale aliyeitwa Mussa.
Hadithi ya maisha ya Mussa inafundisha kuhusu jambo moja kuu nalo ni HAKI. Hii ni kwa sababu, Mungu alitaka kuwatoa waisrael...
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake...
Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini.
Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha .
Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa.
Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi
Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
Ukisikiliza viongozi wa serikali kila kona ya nchi wanahubiri amani lakini neno haki halipo mdomoni mwao.
Mimi najiuliza mbona hawakemei utekaji na bado unaendelea ? Waziri wa mambo ya ndani huoni kinachoendelea?
Ni lini nchi hii itakuja kuwa na utulivu wa kisiasa kama kipaombele cha serikali...
Mchachango wa Oscar kambona ktk Taifa letu ni mkubwa sana lakini inastajabisha kuona mtu huyu hakumbukwi kwa lolote lile hakuna hata mradi uliopewa jina lake !? , kwakweli Jasho la huyu mtu kulipigania Taifa hili limedhulumiwa
anamchango mkubwa wa kupigania mfumo wa vyama vingi katika nchi hii...
Mmetoa pongezi kwa wananchi kuwa wametunza amani.
Ukweli ni huu: Watu bado wanatafakari the way forward baada ya vifo vya watu 10,000 ( as per current unconfirmed testaments).
As long as hamjatenda HAKI, basi hakuna AMANI watu wamepoa kidogo wanatafakari what next!
HAKI HAKI HAKI then AMANI...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku zilizofuata.
Akihubiri kwenye ibada ya Noeli leo Desemba 25, 2025 mkoani Mara, Dkt. Kisale ameshangaa kuona...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki.
Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani.
Askofu Ruwa'ichi...
Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume.
Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume
Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka
Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume...
Credit to Hilda Newton (X)
1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186.
Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu.
Hali hii sio solution na haivumiliki nchi imevamiwa na matapeli na wapumbavu hii.
Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za NHIF na IPPM.
Mgao wanaopata wao ni mkubwa kuliko watoa huduma waliohudumia wagonjwa. Ili hali kwa...
Anonymous (9a81)
Thread
afya
dawa
haki
muhimbili
wahudumu
wahudumu wa afya
wauguzi
Niwasalimu watu wa ukumbi huu,
Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki.
Kabla ya yote tutambua neno haki lina maana pana sana ,unaweza kusema ''ni kitu chochote / jambo...
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.