Haki Sawa: Silaha ya Shetani Dhidi ya Ndoa?

Haki Sawa: Silaha ya Shetani Dhidi ya Ndoa?

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
763
Reaction score
1,766
Shetani alimtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume. Hata mzungu anamtumia mwanamke kumuangamiza mwanaume wameleta Kitu kiitwacho haki sawa, mipango ni kuwapa Wanawake kiburi, kutokuolewa na walioolewa washindwe kaendelea na ndoa zao.

Ila kubwa zaidi kupingana na neno la Mungu. Watu wanasema hii roho ya kutaka haki sawa inaendeshwa na Lilith, Yule mwanamke wa kwanza wa Adam. Roho ambayo inaendelea kukua kila siku mioyoni mwa Wanawake.

Hiyo ndio nguvu nyingine kubwa shetani anayoitumia kugawanya ndoa na mahusiano ya watu.
Wanawake muombeni sana Mungu. Hana mpango mzuri na MAISHA yenu.
 
Back
Top Bottom