Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
12,443
Reaction score
24,738
Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature...

The special thing was these feathery friends.


IMG_20260726_162605.jpg
IMG_20260726_162553.jpg
IMG_20260816_175310.jpg


Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa mjue the whole thing.

Hii ban sema ukweli ilinikwaza maana I was innocent. Yule mpuuzi mliye wacha ndiye alikuwa chanzo...

Alafu kingine wanabodi... Mbona kwenye hili jukwaa kuna sensorship ya mada zinazogusa uongozi wa jamiiforums?

Kuna uzi ulikuwa unaulizia ni kwa nini jamiiforums haijaleta mabadiliko katika jamii.. Ule uzi ulifungiwa watu wasi comment...
https://www.jamiiforums.com/threads...ileti-mabadiliko-chanya-kwenye-jamii.2469226/


Kitu ambacho kina onesha dhahiri ya kuwa members humu hatupaswi kuuliza maswali fikirishi for the betterment of this platform.

Ila yote kwa yote Nime rudi nikiwa bora.
 
Kwa manufaa ya umma, shukuru umerudi. Adhabu si kitu kibaya; ni sehemu ya miundombinu ya kuwezesha ujifunzaji kama viboko, faini, na hatua nyingine za kinidhamu. Vyote hivyo ni miundombinu tu. 😄

Kwa hiyo, nawapongeza mods pendwa kwa kuweka miundombinu hiyo na muhimu zaidi, kwa kukuwezesha kuitumia.

Manufaa ya umma yalizingatiwa.

Mod wa kujitolea
 
Nilikuwa kama wewe pindi naingia humu. Matusi kwa sana na mizaha isiyofaa.

Ban nimekula sana. Hadi ya miezi 3 na ya miezi 6. Mpaka kuna akaunti-kimeo nilikuwa nayo ilifutwa. Ila nikaamua nitulie zangu.

Hakuna haja ya mbwembwe, tumia jukwaa kistaarabu ili wengine wasikereke. Huku JF tupo huru, hakuna haja ya kutengeneza wasifu na kutafuta kukubalika.

Soma vigezo na masharti. Wasimamizi wanaruhusiwa kuhariri na kudhibiti maudhui bila kutoa maelezo yeyote. Huhitaji akili kubwa kuelewa kwanini.
Umetoa comment ili nawe uonekane ama?

Unajua the reason behind my ban?

Na kingine una fuata umati unavyo sema kunihisu au unanifaham ya kuwa mimi ni Natafuta recognition?

Ni nyie ambao huwa mnaishia watu, toxicity then nasubiri mhusika a wajibu ili report yeye apigwe ban
 
Umetoa comment ili nawe uonekane ama?

Unajua the reason behind my ban?

Na kingine una fuata umati unavyo sema kunihisu au unanifaham ya kuwa mimi ni Natafuta recognition?

Ni nyie ambao huwa mnaishia watu, toxicity then nasubiri mhusika a wajibu ili report yeye apigwe ban
Dah nimeyakanyaga leo😅
 
Back
Top Bottom