Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
KPI yako ikoje ? Nyongeza ya mshahara uendana na perfomance ya kazi yako . Jiulize tangu umeajiliwa umeongeza nn kwa jamii hiyo inawezekana hata shamba darasa moja huna, ata mradi wa kuhimiza mashuleni kuwa na bustani ya mboga amna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.