haki

  1. JamiiForums Tanzania Unyonge isiwe sababu ya kuwanyima watanzania haki zao! Unyonge wenyewe, umesababishwa na mafisadi wa CCM!

    Wanajamvi, Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu... Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, bila ya kujali ni chama gani kipo madarakani, basi wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini...
  2. JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka kwa Askofu Mwamakula: Haki haiwezi kufa

    SAUTI YA ASKOFU KWA WATETEZI WA HAKI KATIKA JAMII! Haki haiwezi kufa! Mtu anaweza kuwaua watetezi wa haki, lakini hawezi kufanikiwa kuiua haki! Haki haiwezi kununuliwa! Mtu anaweza kuwanunua wapigania haki, lakini hawezi kuinunua haki yenyewe! Haki haitishwi! Mtu anaweza kuwatisha watetezi wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu

    9 Julai 2020 Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu Source : Jenerali Online Dhana ya Msamaria Mwema niliyoitumia kuhitimisha makala yangu ya mwisho ni muhimu sana katika falsafa ya kisasa kwa maana kwamba inaelezea wema unaotendwa na mtu ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Haki za Binadamu na haki za watu wa Umoja wa Afrika (Mkataba wa Afrika)

    Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa kuzingatia misingi ya sheria. Tume ya Haki za Binadamu na Haki za Watu ya Umoja wa...
  6. JamiiForums Tanzania Sheria na utaratibu baada ya mtumishi wa Serikali kufariki

    Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah. Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya Serikali na utaratibu wa mirathi. Wajuzi wa Mambo hayo naomba mtusaidie kwa manufaa ya Jamii nzima.
  7. JamiiForums Tanzania Daily News, itendeeni haki hii picha

    Hii picha imetoka katika Gazeti la Serikali katika ile safu ya "Down Memmory lane" mara nyingi sana. Kama sikosei karibia mara 10! Sijui Daily News wanataka kutuambia nini lakini jina la Katibu Mkuu Ujenzi siyo Mr David Mlingwa bali Dr George Mlingwa. Kosa hili limekuwa likirudiwa rudiwa sijui...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya tasnia ya habari, uhuru wa kujieleza na dhana ya Haki za Binadamu

    Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza bila ya kuingiliwa, kutafuta, kupokea, na kusambaza taarifa na mawazo ya aina...
  9. JamiiForums Tanzania Mume hanyimwi tendo la ndoa. Mpe haki yake, soma maandiko

    Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu Awaweke SAWA else mkishindana mtatuongezea majani pale kinondoni ama mbwen na ununioo Anza kuchukua...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni haki tena ni vema Rais Magufuli akapita bila kupingwa uchaguzi mkuu 2020

    Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli. Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, unaijua mikataba ya Haki za Binadamu ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini?

    MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA) Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Wananchi wana haki ya kuikosoa Serikali, na hiyo iko kikatiba

    Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla amesema wananchi wana haki ya kikatiba ya kuisema na kuikosoa serikali iliyopo madarakani. Dkt Kigwangalla amesema yeye haoni tabu kukosolewa au kutukanwa mitandaoni kwa sababu hiyo ndio siasa yenyewe. "Wizara hii hata nilipokuwa mbunge kabla sijateuliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Dereva fahamu HAKI na WAJIBU wako unapokutana na Traffic Barabarani kuepusha Migogoro

    Wadau wenye usafiri tuweze shirikishana mambo mbalimbali ambayo madereva wanapaswa kuzingatia barabarani hasa kwa upande wa Haki na Wajibu wao. Na sisi tusio na magari pia tutapata darsa hapa.maana nakumbuka miaka ile sisi tunasoma tulijifunza kwenye Geography Kilimo cha Mahindi USA lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Afisa Mipango Miji asimamishwa kazi kwa kushindwa kutenda haki kwa Wananchi

    Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi,Hadson Magomba,ambaye yupo kitengo cha mipango miji katika jiji la Dodoma kwa kushindwa kutenda haki kwa wananchi. Katambi ametoa agizo hilo baada ya kupokea malalamiko yaliyotolewa na Mdala Mazengo wakati wa mkutano...
  16. JamiiForums Tanzania Video : Iwe fundisho kwamba kujipendekeza hakusaidii chochote , ewe mtumishi wa umma tenda haki

    Huyu ni RPC wa Arusha akishiriki tamasha la ccm , lakini leo kang'olewa bila huruma . Shetani hana rafiki
  17. JamiiForums Tanzania Sakata la Morrison: Yanga yaishtaki Simba TFF na kutaka haki itendeke

    UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard Morrison, kujiunga na klabu hiyo kinyume cha sheria na ikitaka haki itendeke na hatua stahiki...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wa wazi kwa wanademokrasia Tanzania: Uchaguzi uwe huru na wa haki au la, washindi watapewa ushindi wao. Hakuna haja ya kuwa wanyonge!

    Nawaambia haya, kwa uzoefu wangu ndani ya Serikali, CCM na kwenye Idara Nyeti za nchi hii. Nisikilizeni na muelewe: 1. Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni zaidi ya uchaguzi kati ya CCM na vyama vya upinzani. Uchaguzi hubeba mustakabali wa nchi kiusalama, kiuchumi na kadhalika. Kuuchezea uchaguzi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Rushwa hushamiri pale watu wanapocheleweshewa haki yao na kuanza kuitafuta kwa njia ya mkato

    JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma ameitaka Mahakama kuacha kuchelewesha haki kwani ndiyo chanzo kikubwa cha rushwa katika mhimili huo. Profesa Juma alitoa kauli hiyo jijini hapa jana wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Masuala Kupinga Rushwa Nchini lililoshirikisha vyombo...
  20. JamiiForums Tanzania Tusitegemee uchaguzi huru na haki, kama watendaji wa serikali ni makada wa CCM wakitarajia kuja kugombea au kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM

    Sasa watumishi kama hawa ndio mtarajie kutenda haki na usawa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…