Wasafi Festival wamewatendea haki Wananchi

I

innocent dependent

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
4,165
2,000
Please mod usiuunganishe Uzi wangu.

MTAZAMO WANGU WA SHOW YA JANA

Jana wasafi festival waliiteka dar nzima na east Africa kwa ujumla.kiukweli waliofanya vizuri ni wengi Sana siwezi kuweka wote.Hapa nitaweka list ya wasanii top 7 niliyoona wameperform vizuri

1. Diamond
Huyu ndo alikuwa ndio man of the game nimependa namna alivyoingia kwenye stage was massive,energy na creativity aliyoionesha pamoja na live band aliopiga sauti tamu nikatamani ngoma zote apige liveband. overall performance was great mashabiki kiasi ambacho walimpigia makofi na kumshangilia pamoja nakumtaka arudie performance ya wimbo wake wa "babalao" na "yope remix" .

Nimeona pia kwenye tweet amepata pongezi mbalimbali kutoka kwa baadhi ya viongozi walioangalia show mashabiki wa nchi tofautofauti walioangalia kupitia DSTV na YOUTUBE live.Mond amethibitisha kweli yeye ni baba lao.

2. Mzee wa Bwax
Huyu ni msanii wa kisingeli maarufu alikichafua ile mbaya show yake kifupi ilikuwa bomba sana.Huyu kwangu kashika no 2 yaani amemfunika mpaka Wizkid na hii inaonesha siingeli inapendwa Sana.

3. Proffessor Jay
Nimeshindwa kumuelezea huyu jamaa kiukweli wasanii wa hip-hop wanamengi yakujifunza kwa huyu jamaa in term of performance

4. Nature,Chid Benz
Atoi ngoma lakini balaa lake kwenye stage si la mchezo ameitendea haki jukwaa la wasafi festival.chid Benz naye alikuwa Moto wote nimewaweka nafasi ya nne

5. Dulla Makabila
Kiufupi wasanii wa kisingeli wametisha sana dulla aliperform vizuri I can't explain.

6. Mboso,Twanga Pepeta
Nimependa ubunifu wake kwenye stage na alikuwa calm akiimba bila kutumia nguvu au kutoka jasho na mapokezi mazuri alikuwa anayapata kwa mashabiki.Twanga wameonesha ukongwe wao vizuri kwenye sector ya mziki wa bendi walipokelewa vizuri na mashabiki na waliofanya show vizuri Sana.

7. Wizkid,Rayvanny
Naye alifanya vizuri alikuwa ana vibe na reaction nzuri alipata kutoka mashabiki kiasi ambacho shabiki mmoja akamvamia kwenye stage na kumkumbatia.Rayvanny pia alifanya vizuri Sana alicontrol jukwaa na kuimili mashabiki vizuri kingine kilichonivutia zaidi ni VOICE YAKE was fantastic.

WALIOFANYA KAWAIDA
Nimewaona Hawa tu wawili.
1. Domo Kaya.
2. Lavalava.

WALIOFANYA VIBAYA
Nimewaona Hawa tu pekee.
1. Amber lulu
2. Gigy Money
3. Queen Darlin.

MAFANIKIO YA SHOW
Japo wasafi wameweka viingilio vikubwa Kama vile sh 10000, 500000 backstage na mil 1 kwa VVIP.Lakini walijaza Sana sehemu zote na waliiteka Sana Tanzania pamoja na nchi za nje cos iliangaliwa na watu wengi sana na baadhi ya watu wakatumia hiyo fursa kufanya biashara kilipisha kwenye vibanda kwa ajili ya kucheki show ya wasafi festival.

Jambo lingine nililolipenda ni stage ilikuwa ni nzuri, kubwa na imedegniwa kwa ubunifu mkubwa nimependa kuwepo kwa lighting nyingi na Moshi na kubadilika kwa rangi wakati wa performance ya msanii.

Pia wasafi festival imeweka record yakuangaliwa na watu MILLIONI 1.2 live kupitia YouTube ya channel ya WASAFI MEDIA kuliko tamasha lolote la Tanzania.

CHALLEGES
1. Kuna watu wengi walilipa ticketi ya kuingia kwenye show lakini walishindwa kuingia kwenye show na gati lilifungwa Kuna namna wanatakiwa WASAFI wafanye kwa Hawa watu.

2. Mabodiguard
Hawa majamaa wameshindwa kuwatreat vizuri mashabiki especially wakati wanaingia kwenye show.Wafanyie hili jambo kwa faida ya mashabiki.
 
Wit

Wit

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
428
195
Asante kwa uchambuzi umenisaidia mimi ambae sikuangalia/kuwepo.

Vipi kuhusu Tiwa Savage? Hapo kwa Wizkid ningefurahi kama ungeongeza nyama maana yeye ndiye alikuwa kama kioo cha festival kwenye matangazo. Asante
 
I

innocent dependent

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
4,165
2,000
Asante kwa uchambuzi umenisaidia mimi ambae sikuangalia/kuwepo.

Vipi kuhusu Tiwa Savage? Hapo kwa Wizkid ningefurahi kama ungeongeza nyama maana yeye ndiye alikuwa kama kioo cha festival kwenye matangazo. Asante
Tiwa Savage alifanya vizuri pia na watu walimshangilia sana ila kwa namna nilivyoona kioo alikuwa ni diamond than Wizkid cos mond ndio alipata shangwe kubwa Sana pindi tu alivyotambulishwa kuliko wengine lakini pia diamond alikuwa ana muda mrefu ajaperform dar imepita Kama miaka 3 hiv.
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
4,970
2,000
pia wasafi festival imeweka record yakuangaliwa na watu MILLIONI 1.2 live kupitia YouTube ya channel ya WASAFI MEDIA

Hii ni zaidi ya chai ambayo sijawahi kuiona, watazamaji wa live streaming hawakuzidi 25k... sasa sijui hiyo idadi yako umeitoa YouTube ya aina gani.
 
Statarea

Statarea

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
899
1,000
pia wasafi festival imeweka record yakuangaliwa na watu MILLIONI 1.2 live kupitia YouTube ya channel ya WASAFI MEDIA

Hii ni zaidi ya chai ambayo sijawahi kuiona, watazamaji wa live streaming hawakuzidi 25k... sasa sijui hiyo idadi yako umeitoa YouTube ya aina gani.
Yes ni kweli ilikuwa 25K kiafrika afrika ukipata live streamers elfu 50 tu dah! Ni boooonge la mafanikio
 
K

Kenzpuls

Senior Member
Oct 22, 2019
171
500
Poa naona umebalance kusifu vuzuri sana. Nampongeza kijana wetu kutoa fursa za ajira kwa wananchi.
Lakini picha ziko wapi?
Nenda Youtube au insta utazipata kaka sio lazima kila uzi uwekewe picha
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
13,868
2,000
wamejitahidi ila walishindwa kubalance muda.

Pia mifoleni ya kuingia sijui walikwama wapi?

Binafsi show ilikuwa poa.
 
Nywilla

Nywilla

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
374
500
Please mod usiuunganishe Uzi wangu.

MTAZAMO WANGU WA SHOW YA JANA

Jana wasafi festival waliiteka dar nzima na east Africa kwa ujumla.kiukweli waliofanya vizuri ni wengi Sana siwezi kuweka wote.Hapa nitaweka list ya wasanii top 7 niliyoona wameperform vizuri
1.diamond
Huyu ndo alikuwa ndio man of the game nimependa namna alivyoingia kwenye stage was massive,energy na creativity aliyoionesha pamoja na live band aliopiga sauti tamu nikatamani ngoma zote apige liveband. overall performance was great mashabiki kiasi ambacho walimpigia makofi na kumshangilia pamoja nakumtaka arudie performance ya wimbo wake wa "babalao" na "yope remix" .Nimeona pia
kwenye tweet amepata pongezi mbalimbali kutoka kwa baadhi ya viongozi walioangalia show mashabiki wa nchi tofautofauti walioangalia kupitia DSTV na YOUTUBE live.Mond amethibitisha kweli yeye ni baba lao.

2.Mzee wa bwax
Huyu ni msanii wa kisingeli maarufu alikichafua ile mbaya show yake kifupi ilikuwa bomba sana.Huyu kwangu kashika no 2 yaani amemfunika mpaka Wizkid na hii inaonesha siingeli inapendwa Sana.

3.proffessor Jay
Nimeshindwa kumuelezea huyu jamaa kiukweli wasanii wa hip-hop wanamengi yakujifunza kwa huyu jamaa in term of performance

4.Nature,chid benz
Atoi ngoma lakini balaa lake kwenye stage si la mchezo ameitendea haki jukwaa la wasafi festival.chid Benz naye alikuwa Moto wote nimewaweka nafasi ya nne

5.Dulla makabila
Kiufupi wasanii wa kisingeli wametisha sana dulla aliperform vizuri I can't explain.

6.Mboso,Twanga pepeta
Nimependa ubunifu wake kwenye stage na alikuwa calm akiimba bila kutumia nguvu au kutoka jasho na mapokezi mazuri alikuwa anayapata kwa mashabiki.Twanga wameonesha ukongwe wao vizuri kwenye sector ya mziki wa bendi walipokelewa vizuri na mashabiki na waliofanya show vizuri Sana.

7.wizkid,rayvanny
Naye alifanya vizuri alikuwa ana vibe na reaction nzuri alipata kutoka mashabiki kiasi ambacho shabiki mmoja akamvamia kwenye stage na kumkumbatia.Rayvanny pia alifanya vizuri Sana alicontrol jukwaa na kuimili mashabiki vizuri kingine kilichonivutia zaidi ni VOICE YAKE was fantastic.

WALIOFANYA KAWAIDA
Nimewaona Hawa tu wawili.
1.domo Kaya.
2.lava lava.

WALIOFANYA VIBAYA
Nimewaona Hawa tu pekee.
1.Amber lulu
2.gigy money
3.queen darlin.

MAFANIKIO YA SHOW
japo wasafi wameweka viingilio vikubwa Kama vile sh 10000, 500000 backstage na mil 1 kwa VVIP.Lakini walijaza Sana sehemu zote na waliiteka Sana Tanzania pamoja na nchi za nje cos iliangaliwa na watu wengi sana na baadhi ya watu wakatumia hiyo fursa kufanya biashara kilipisha kwenye vibanda kwa ajili ya kucheki show ya wasafi festival.

Jambo lingine nililolipenda ni stage ilikuwa ni nzuri, kubwa na imedegniwa kwa ubunifu mkubwa nimependa kuwepo kwa lighting nyingi na Moshi na kubadilika kwa rangi wakati wa performance ya msanii.

pia wasafi festival imeweka record yakuangaliwa na watu MILLIONI 1.2 live kupitia YouTube ya channel ya WASAFI MEDIA kuliko tamasha lolote la Tanzania.

CHALLEGES
1.kuna watu wengi walilipa ticketi ya kuingia kwenye show lakini walishindwa kuingia kwenye show na gati lilifungwa Kuna namna wanatakiwa WASAFI wafanye kwa Hawa watu.

2.Mabodiguard
Hawa majamaa wameshindwa kuwatreat vizuri mashabiki especially wakati wanaingia kwenye show.Wafanyie hili jambo kwa faida ya mashabiki.
Asante sana mwl.Kashasha na unakadria watu walikuwa wangapi walioudhulia jumla yao?? KWAKO JESSE
 
Top Bottom