Mgombea wa Chadema Keko Mwanga A kufikishwa Mahakamani mchana huu kwa kukataa unyonge na kupigania haki yake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,609
218,032
Atafikishwa Mahakamani baada ya kuhakikisha mtendaji wa kata ya Keko anatenda kama sheria za uchaguzi zinavyotaka kwa kumpatia mgombea halali fomu zake , hii ilitokea baada ya Mtendaji huyo kuchelewa kujificha hadi kukutwa ofisini na Mgombea wa CHADEMA ambapo akataka kukataa kumhudumia mgombea huyo hali iliyosababisha mapambano , mgombea alifanikiwa kupata fomu zake , bali alikamatwa na polisi kwa kisingizio cha vurugu .

FB_IMG_1572860674663.jpg



2202094_Screenshot_2019-11-03-12-57-23.png
 
Kwahiyo kama wamekimbia ofc kwa Sikh 7 vipi huduma nyingine kama barua za dhamana na kuhamisha makazi zinafanyikia ofc zipi
 
Kujiandikisha kwenyewe mlisema watu wagomee wasijiandikishe leo mnalilia kugombea........vi wonder
 
Back
Top Bottom