hadharani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yamtaka Luhaga Mpina Kuomba na kupata Ufafanuzi kwa Serikali kabla ya kuzungumza mambo yasiyo na ukweli hadharani

    Ndugu zangu Watanzania, Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza makalio badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kwa wananchi. Serikali kupitia naibu waziri wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU mbona hamuwakamati trafiki wanaochukua rushwa hadharani?

    Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni. TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate hawa majambazi katika nguo nyeupe. Ninachojiuliza mbona wanaofanya hivyo hadharani hawachukuliwi hatua?
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

    Inaonekana dereva wa polisi alimuacha Afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana. Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Katika makuzi yangu nilikua nikiaminishwa kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu

    Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu, Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA mmeanza mwaka vibaya, Mbowe amejinasibu hadharani kuwa anaongoza kundi la CCM B huku ninyi mkijifanya hamjui hilo.

    Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM.
  6. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama! Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kinana: Nakemea viongozi wa chama wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani

    Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani. Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao. Jiwe hili limerushwa.
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makonda kusuka au kunyoa: Kinana awataka watendaji wafuate muongozo wa Rais kwa kutodhalilisha watendaji hadharani

    Makonda sasa asuke au anyoe, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi. Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili apate umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake? Atabadili gia angani na kwanza...
  9. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kutungwe Sheria Kali ya Kunyongwa hadharani Viongozi Waandamizi Wanaowadanganya wazi wazi Watanzania

    Kwa mfano kukitokea Kiongozi Mwandamizi yoyote akatudanganya Watanzania Kimakusudi kuwa Kiongozi fulani Hajafa au Haumwi na mzima wa Afya anaendelea na Majukumu yake Ofisini huyu GENTAMYCINE sipendekezi tu aishiye Kunyongwa hadharani bali kama ni Mwanaume basi Ahasiwe kabisa na akiwa ni Mwanamke...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati toka hadharani utueleze kulikoni matatizo ya umeme

    Mhe. Waziri wa Nishati ulituaminisha kuwa katika muda wa wiki mbili kutakuwa na afadhali kidogo kuhusu upatikanaji wa umeme. Pili ulitueleza kuwa kutokana na ukame ndiyo maana upatikanaji wa umeme umekuwa ni shida LAKINI mvua zimeanza kunyesha kwa wingi sana na mito na mabwawa yamejaa maji...
  12. D

    JamiiForums Tanzania TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500...
  13. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

    Waungwana wa JF nawasalimu, Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Maua Sama ajitokeza hadharani kuongeza matiti Mloganzila

    Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano wake. Hii si mara ya kwanza kwa Maua kutaka kubadili muonekano wake ila inaonesha kilichokuwa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

    Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo...
  16. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Uzembe nchi hii utaisha kwa mzembe kuhukumiwa kwa kupigwa risasi hadharani

    Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:- 1. Gesi asilia ya kutosha 2. Makaa ya mawe ya kutosha 3. Mwanga wa jua wa kutosha 4. Nk nk Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

    Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau. Niliwahi kuandika uzi huu pia: Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi: Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Edgar Lungu apigwa marufuku kufanya mazoezi hadharani akidaiwa kuendesha Kampeni

    Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa. Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeshapata tayari Kinujumu (Kiutabiri) Matokeo ya Kesho Kigali na Ndola je, mna Mioyo na Vifua niyaweke hadharani?

    GENTAMYCINE nasubiria majibu yenu ila najua kuna Watu Watalia na hawatoamini kwa Matokeo ya Kesho. Je, mpo tayari niyaweke Hadharani?
Back
Top Bottom