hadharani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Msisitizo wa chama cha mapinduzi(CCM) katika maeneo muhimu kwenye mpango wa maendeleo na bajeti za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma. ===== KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kitabu cha Mwinyi: Niliepuka kubishana, kumkosoa Nyerere hadharani

    RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Nwinyi, amebainisha kuwa wakati wa uongozi wake, aliepuka kubishana hadharani na mtangulizi wake, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, akiwaonya viongozi wa sasa kujaribu kupata uhalali wa wanayoyafanya kwa kutupia lawama viongozi waliopita. Katika kitabu...
  3. Oloisusuki

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi kuwa mechi ya Simba vs Yanga iliahirishwa ajitokeze hadharani

    Kila mtu anadai mechi ya Simba vs YANGA ya tarehe 8/5/2021 iliahirishwa.wajitokeze hadharani watujibu yafuatayo 1: Nani aliahirisha? 2: Kwanini iliahirishwa? My take: Mechi ya jana Yanga aligomea kucheza so tusubiri majibu ya TFF na Wizara
  4. bongo man

    JamiiForums Tanzania Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa. Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti COVID-19 na kuepuka kulishana uchafu, tuweke sheria ya kupiga faini yeyote atayepiga chafya hadharani bila kuziba pua na mdomo

    Hata kabila ya ujio wa Covid, hakuna tabia ambayo huwa naichukia kama mtu kupigya chafya mbele za watu bila kuziba pua na mdomo kwani mbali na kusambaza magonjwa, lakini pia inachangia sana kulishana uchafu(makamasi). Kutokana na ujio wa Covid, ugonjwa unaosambaa kwa njia kadhaa ikiwemo mtu...
  6. Peasant educator

    JamiiForums Tanzania Unataka mtanzania awe mzalendo waikato anashuhudia uvunjifu wa katiba hadharani

    Habari, Nimekuwa nikitoa tahadhari ya kuja kuwa na mtafaruku ndani ya nchi na ikiwezekana vita vya ndani. Kwa sasa kumetamalaki kwa uvunjivu wa katiba yet hasahasa kwa viongozi wetu wa juu pamoja na wakuu wa nchi akiwemo SPIKA wa bunge na hata RAISI mwenyewe. Hao viongozi wengine ndo hawasemeki...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TBC waweke hadharani Risiti ya Malipo waliyolipwa kwa kuonesha moja kwa moja Mkutano Mkuu wa CCM huko Dodoma

    Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM. Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha, bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia.
  8. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye ukoo wa kifalme Uingereza inakatazwa weza kuonyesha mahaba yao kama kushikana mikono hadharani

    PDA Is Off-Limits Although the couples in the royal family might love each other dearly, they are not supposed to show public displays of affection. Marrying a prince might seem like an actual fairytale, but you can't make a big show of it in public. Holding Hands Is Even Frowned Upon This rule...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

    Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna. Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa. Kwamba wapo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais kuitwa mtukufu na kuabudiwa hadharani bila kukemea inaashiria nini?

    Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu. Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini. Nilijua Rais atakapoamka kutoa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni hadharani gharama za mazungumzo na gharama za kugharamia uchunguzi uliofanywa na kamati 2 za Rais

    Sisi tukiwa kama walipa kodi, tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia. Ni hayo tu. Alafu najiuliza sijui tutaruhusu makinikia ya matrilioni kama tulivyoambiwa na ile kamati ya kwanza ya...
Back
Top Bottom