habari

  1. JamiiForums Tanzania Kwanza Online TV yafungiwa miezi 11, kwa kuchapisha taarifa ya Marekani

    Ni kwa kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta 2018 kwa kuchapisha taarifa ya Ubalozi wa Marekani TCRA imesema taarifa hiyo ilijaa upotoshaji na Kwanza TV waliichapisha bila kuzingatia mizania
  2. JamiiForums Tanzania Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa
  3. JamiiForums Tanzania Kwanza TV waitwa na TCRA kujieleza kwanini wasifutwe kwa kuchapisha habari ya Ubalozi wa Marekani juu ya COVID 19

  4. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

    Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki. Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wasikilizaji makini tu: Umegundua nini katika mahojiano haya kati Benard Membe na mwandishi wa habari Dotto Bulendu wa DW Radio?

    Hebu msikilize Bernard Membe hapa kwa makini, neno kwa neno na sentensi kwa sentensi kisha sema umesikia na kuelewa nini... Mimi bila shaka yoyote naweza kusema kuwa, huyu jamaa na CCM walio "jikoni" lao ni moja, wako kwenye mkakati mmoja lakini haujafikia kwenye ukamilifu wake... Na kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini majirani zetu na Washirika (Kenya, Uganda na Rwanda) COVID-19 inazidi tu kuwatesa lakini Tanzania wala hatuna habari nayo?

    Je, 1. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana duniani kuliko nyinginezo? 2. Tanzania ina Raia ambao wana Kinga za Mwili Kali sana? 3. Kenya, Uganda na Rwanda hakuna CORONA kihivyo ila wanazidisha tu Idadi 24/7 ili wapate Pesa za IMF na WB? 4. Ile Sindano ya NDUI tuliyoipiga miaka ya 80 wakati wana...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Mutharika: Amewataka wafuasi wake kupuuza matokeo yanayosambazwa na vyombo vya habari

    Ijapokuwa tume ya uchaguzi ya Malawi MEC bado haujatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais uliorudiwa , ishara za mapema zinaonesha kwamba rais Peter Mutharika yuko nyuma ya mpinzani wake mkuu Lazarus Chakwera. Kulingana na mgombea mwenza Atupele Muluzi, ambaye alisema kwamba ametumwa na Mutharika...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Jeshi la Polisi juu ya vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari (2016)

    Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza. Mamlaka ya Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua kwa nini binadamu haoni gizani?

    Habari wana jamii! naomben kujua kuhusu hili! Kwanini binadamu haoni gizani?:rolleyes:
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ndio hiyo - Nairobi to Join UN Global Network of Learning Cities

    An aerial view of Nairobi City: FILE The Nairobi City County Government has been invited to join the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization (UNESCO) Global Network of Learning Cities (GNLC) whose mission is to support and accelerate the practice of lifelong learning...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na vyombo vya habari kutoripoti Yanga kubebwa, Azam waiandikia barua bodi ya ligi

    Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata. Ilifikia...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za Masomo ya Uandishi wa Habari "intake" ya Julai, 2020

    DSJ - JULY INTAKE Wahi mapema kabla nafasi hazijaisha. SIFA ZA KUJIUNGA NA MASOMO 1. “CERTIFICATE:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (IV) kwa ufaulu wa angalau D nne (4), na D moja kati ya hizo iwe ya somo la Kiingereza. 2. “DIPLOMA:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha sita (VI) kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Habari

    Mambo zenu ..kwa jina naitwa Angelina naweza sema sio mzoefu Sana na mazingira ya humu ..lakini nilichofurahi nimekuta positive people ambao unaweza omba ushauri na wakakushauri vizur tu , jokes za hapa na pale pia hufurahisha Asante Sana kwa kipindi kichache nimetangaza biashara yangu Kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Namba 16: Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma achukua fomu ya Urais Zanzibar kupitia CCM

    Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
  16. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump aanza vibaya kampeni huko Oklahoma, ashindwa kujaza uwanja wa watu 19,000. Avilaumu vyombo vya habari na waandamanaji

    Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya kampeni yake ya kwanza tangu kuanza kwa mlipuko wa CoronaVirus ambapo watu wachache wamejitokeza Mapema wiki hii, Rais Trump alisema watu takriban Milioni 1 wamenunua tiketi za kampeni hiyo iliyofanyika Tulsa, Oklahoma lakini uwanja unaomudu watu...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: jinsi ya kutoa links kutoka vyanzo mbalimbali vya habari na kuleta jamiiforums

    Matumaini wazima wa afya, Twende moja kwa moja mimi shida yangu ni kutaka kujua au kupewa maujuzi kwamba naweza kuona huko habari chanzo chochote cha habari!? Lakini wenyewe nao wana links yao ili uingie usome habari kwa usahihi kamili! Sasa lengo langu ni kwamba nawezaje kuchukua ile links...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Ahsante Mbunge Cecil Mwambe kwa kueleza kiu ya watanzania baada ya kutoka kuhojiwa na Takukuru

    Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji. Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi. Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyozungumza Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbas

    Katika miaka hii mitano ya Serikali ya Awamu ya Tano kazi kubwa imefanyika. Sisi kama Serikali tumetimiza wajibu wetu, tunaiona nchi yetu inaendelea kupata maendeleo kwa kasi Serikali hii imehamasisha sana watu kulipa kodi na sio kulipa kodi tu bali waione thamani ya kodi wanazolipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…