Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
Hebu msikilize Bernard Membe hapa kwa makini, neno kwa neno na sentensi kwa sentensi kisha sema umesikia na kuelewa nini...
Mimi bila shaka yoyote naweza kusema kuwa, huyu jamaa na CCM walio "jikoni" lao ni moja, wako kwenye mkakati mmoja lakini haujafikia kwenye ukamilifu wake...
Na kuna...
Je,
1. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana duniani kuliko nyinginezo?
2. Tanzania ina Raia ambao wana Kinga za Mwili Kali sana?
3. Kenya, Uganda na Rwanda hakuna CORONA kihivyo ila wanazidisha tu Idadi 24/7 ili wapate Pesa za IMF na WB?
4. Ile Sindano ya NDUI tuliyoipiga miaka ya 80 wakati wana...
Ijapokuwa tume ya uchaguzi ya Malawi MEC bado haujatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais uliorudiwa , ishara za mapema zinaonesha kwamba rais Peter Mutharika yuko nyuma ya mpinzani wake mkuu Lazarus Chakwera.
Kulingana na mgombea mwenza Atupele Muluzi, ambaye alisema kwamba ametumwa na Mutharika...
Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza.
Mamlaka ya Polisi...
An aerial view of Nairobi City: FILE
The Nairobi City County Government has been invited to join the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization (UNESCO) Global Network of Learning Cities (GNLC) whose mission is to support and accelerate the practice of lifelong learning...
Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata.
Ilifikia...
DSJ - JULY INTAKE
Wahi mapema kabla nafasi hazijaisha.
SIFA ZA KUJIUNGA NA MASOMO
1. “CERTIFICATE:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (IV) kwa ufaulu wa angalau D nne (4), na D moja kati ya hizo iwe ya somo la Kiingereza.
2. “DIPLOMA:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha sita (VI) kwa...
Mambo zenu ..kwa jina naitwa Angelina naweza sema sio mzoefu Sana na mazingira ya humu
..lakini nilichofurahi nimekuta positive people ambao unaweza omba ushauri na wakakushauri vizur tu , jokes za hapa na pale pia hufurahisha Asante Sana kwa kipindi kichache nimetangaza biashara yangu Kuna...
Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya kampeni yake ya kwanza tangu kuanza kwa mlipuko wa CoronaVirus ambapo watu wachache wamejitokeza
Mapema wiki hii, Rais Trump alisema watu takriban Milioni 1 wamenunua tiketi za kampeni hiyo iliyofanyika Tulsa, Oklahoma lakini uwanja unaomudu watu...
Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema .
Mungu ibariki Chadema
=======
----UPDATE----
Ndugu wanahabari
Chama cha Demokrasia...
Matumaini wazima wa afya,
Twende moja kwa moja mimi shida yangu ni kutaka kujua au kupewa maujuzi kwamba naweza kuona huko habari chanzo chochote cha habari!?
Lakini wenyewe nao wana links yao ili uingie usome habari kwa usahihi kamili! Sasa lengo langu ni kwamba nawezaje kuchukua ile links...
Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji.
Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi.
Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka...
Katika miaka hii mitano ya Serikali ya Awamu ya Tano kazi kubwa imefanyika. Sisi kama Serikali tumetimiza wajibu wetu, tunaiona nchi yetu inaendelea kupata maendeleo kwa kasi
Serikali hii imehamasisha sana watu kulipa kodi na sio kulipa kodi tu bali waione thamani ya kodi wanazolipa...
Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.