Ukiangali Taarifa ya Habari za TV za Kibongo unaweza fikiri zote zinatumia Ripota mmoja kwa kufanana

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Kuanzia Chanel 10, Cloud's TV, Star TV had ITV! Matukio ni Yale Yale, wanaohojiwa Ni walewale!, Ujumbe Ni uleule!

Sijui huwa wanaambizana cha kuripoti siku hiyo!? au wote wanatumia repota mmoja !
 
Kwenu ma inginia. Nawezaje ku block tbc1 isionekane nyumbani kwangu, yaani hata nilewe vipi nisiweze kuiangalia? Kuna watangazaji wao wa kike SIWAPENDI
 
Kuanzia Chanel 10, Cloud's tv, star tv had ITV!
matukio ni Yale Yale, wanaohojiwa Ni walewale!, Ujumbe Ni uleule!

Sijui huwa wanaambizana Cha kuripoti siku hiyo!? au wote wanatumia repota mmoja !
Ndio shule za waandishi zilivyo; kuiga/kudesa/kukremu ndio inahamia hadi kazini.
 
Shida ni usafiri
Baadhi ya media hazina hata usafiri Kwa ma reporter wao..
Sasa Wana share na media zingine
Sometimes hadi kudesa ripoti za wenzao..

Kingine utamaduni wa baadhi ya taasisi kuwalipa waandishi waripoti habari wanavyotaka wao
 
Kwenu ma inginia. Nawezaje ku block tbc1 isionekane nyumbani kwangu, yaani hata nilewe vipi nisiweze kuiangalia? Kuna watangazaji wao wa kike SIWAPENDI

Unatumia kisimbuzi gani, nafikiri zile parental guidance settings zinawezesha kublock channels.... niliziona DsTV sijui huko kwingineko!
 
Shida ni usafiri
Baadhi ya media hazina hata usafiri Kwa ma reporter wao..
Sasa Wana share na media zingine
Sometimes hadi kudesa ripoti za wenzao..

Kingine utamaduni wa baadhi ya taasisi kuwalipa waandishi waripoti habari wanavyotaka wao
 
Kuanzia Chanel 10, Cloud's tv, star tv had ITV!
matukio ni Yale Yale, wanaohojiwa Ni walewale!, Ujumbe Ni uleule!

Sijui huwa wanaambizana Cha kuripoti siku hiyo!? au wote wanatumia repota mmoja !
Hao wote ni chombo " kimoja' cha habari😂😂
 
Miaka ya nyuma ITV ilikuwa angalau ina utofauti kidogo! Lakini siku hizi na yenyewe ni kama 'TBC' iliyochangamka!
 
Jiwe ameshaviweka vyombo vyote vya habari mfukoni mwake. Vimebinywa mno. Vyote vinachukua maudhui toka TBC ili nyimbo za kuimba na kusifu zisisitofautiane

Lln pia waandishi wengi wamenasa kwenye mtego wa kujipendekeza ili wapate uteuzi.
 
Kuanzia Chanel 10, Cloud's tv, star tv had ITV!
matukio ni Yale Yale, wanaohojiwa Ni walewale!, Ujumbe Ni uleule!

Sijui huwa wanaambizana Cha kuripoti siku hiyo!? au wote wanatumia repota mmoja !
Check UTV
 
Back
Top Bottom