habari

  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa. Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Habari zenu, natoka Botswana nawasalimu sana

    Katika pitapita zangu rafiki yangu amenionyesha mtandao wa JamiiForums. Nimeupenda sana kwa taarifa zenu ambazo ni up to date. Nimejiunga nanyi leo natokea Gaborone Botswana Kl 350 to Johannesburg. Nimeishi hapa miaka mingi sana na nimekuwa kama mzawa wa hapa. Asanteni sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za Kimkakati zilizoifanya Yanga SC ya Mwakalebela Kuzungumza na Vyombo vya Habari jana

    1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake. 2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC ) awaogope na awapendelee ili washinde Mechi yao. 3. Kumuhusisha kwa Kumtaja hadi Kumzungumzia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mliokuwepo leo katika Press ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC mlishindwa kumuuliza Maswali Fikirishi haya?

    1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli? 2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja? 3. Je...
  5. JamiiForums Tanzania Editorial Rooms za Vyombo vya Habari Tanzania ni kichekesho

    Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali. Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani...
  6. JamiiForums Tanzania Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi za Sanaa bila uhakiki wa BASATA, TFB na COSOTA

    Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Afrika

    Nchi zinaongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Africa. Source: world press freedom index. Year. 2020. 1. Namibia 2. Cape varde 3. Ghana 4. South Africa 5. Burkina Faso 6. Botswana 7. Senegal 8. Madagascar 9. Mauritius 10. Niger 11. Seychelles 12. Cote D' ivore 13. Malawi 14. Tunisia...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi. Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

    Wakuu salama Kuna habari kuwa kule zanzibar kuna msiba mzito Embu walioko huko watujuze kama hizi taarifa nizakweli
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari: Bidhaa za kigeni ziandikwe kwa Kiswahili

    Naibu Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema bidhaa zote za kigeni zinazoingia nchini zitafutiwe utaratibu wa kutafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili. Na bidhaa ambazo zinazalishwa nchini ziwekewe utaratibu wa kuwa na maelezo ya Kiswahili ili kumrahisishia mtumiaji wa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania New Habari 2006 Ltd ya Rostam haipeleki michango mifuko ya Jamii

    Salama wakuu, Mimi ni mmoja wa waandishi wa zamani wa New Habari 2006 Ltd inayomilikiwa na Rostam Aziz. Nimefuatilia mafao yangu PPF kwa zaidi ya miaka saba sasa. Lakini kila siku ninaambiwa bado michango haijapelekwa. Nikienda ofisini, watu wa utawala wanasema kampuni haina fedha, sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu

    Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu. Ni kulingana na ripoti ya HRW Wanaharakati Zimbabwe wanaishutumu serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kwa kutumia suala la janga la corona kuwakandamiza wapinzani. Kulingana na ripoti iliyotolewa na...
  13. JamiiForums Tanzania Familia iliyopoteza watu wanne kwa mpigo ndani ya muda mfupi

    Wednesday February 10 2021 Profesa Delfina Mamiro Morogoro. Familia ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Profesa Delphina Mamiro imepata pigo ndani siku 28 kwa kupoteza watu wanne, akiwamo profesa huyo. Awali, wazazi wa profesa huyo walifariki dunia katika familia Januari...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya Uhuru wa vyombo vya Habari

    Vyombo vya habari huru humaanisha kuwa hakuna mtu anayepaswa kudhibiti na kushawishi utangazaji wake wa habari. Hakuna mtu anayepaswa kuviambia vyombo vya habari ni nini kinachoweza kuingizwa na nini hakipaswi kuingizwa katika habari wanazozitoa. Inamaanisha kuwa vyombo vya habari havifai kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

    Habari za wakati huu jamiiforums. Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau" Mnamo mwaka wa 1999, kulikuwa na muungano/umoja wa kisiasa ambao uliwajumuisha Rais wa wakati huo ndugu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana. Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani. Ndipo...
  17. JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wafugaji wa Kagera na mikoa jirani; Jipatie mbegu za Azolla kwa bei nafuu

    Habari waJF, Kwa wale wafugaji wenzangu wa mkoa wa Kagera na mikoa jirani sasa unaweza kupata mbegu za Azolla zenye ubora unaohitajika kwa bei rafiki kabisa. Tuwasiliane kupitia namba 0625951181 Faida za Azolla kwa kifupi ni; 1. Ni nyongeza ya chakula cha kuku na mifugo mingine 2. Ina...
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya: RC Chalamila ameonya waandishi wa habari kuacha kutumia maneno ''kifo cha ghafla'' wanapoandika habari za msiba

    RC Chalamila amesema hili neno “kifo cha ghafla” linaleta taharuki katika jamii. Mbona mtu akitongoza ghafla magazeti hayaandiki.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni bila kutafsiri na kufafanua wakati lugha ya taifa ni Kiswahili?

    Habari wanajamvi, Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala hafafanui walichozungumza wakati anajua wazi lugha ya taifa ya Bongo ni kiswahili. Je, washibiki...
  20. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yawakabidhi wakandarasi mikataba ya shilingi bilioni 7.5

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi bilioni 7.5, kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kazi hiyo ndani ya muda wa mkataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…