habari

  1. S

    Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

    TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania. ===== Dear...
  2. D

    Ukiachana na bei za Saruji, bei ya kupata Kibali cha ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu huko Halmashauri ya Kigamboni ni Tshs 250,000

    Wakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement! Shida kubwa ya halmashauri nyingi ni kugeuza sheria kuwa vyanzo vya mapato. Tutafakali gharama zifuatazo za kibali cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni. Bei hizi zinasimamiwa na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa...
  3. J

    Mwandishi Moses Methew amtaka Dkt. Abbas ajitokeze hadharani kulijibu bunge la EU, adai Balozi hatoshi

    Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania. Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili...
  4. Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

    Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo. Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...
  5. U

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

    Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam Tafadhali usikose Tafadhali mjulishe Mwenzako Tuna Jambo Letu
  6. Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
  7. habari natafuta mtu ambaye yupo tayari kukodisha laptop kwa mwezi

    habari wadau natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni. note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe...
  8. K

    Tumehimizwa kuanza kuliona Bunge kwenye Vyombo vya Habari

    Tunashukuru awamu ya tano kwa kuruhusu Bunge live Tena, tunashukuru kwamba gharama za matangazo ya Bunge live si kigezo Tena Cha kudhibiti Bunge Live. Ila kwanini media hazituelewi? Leo shamrashamra za kupatikana kwa spika 99.7% Dodoma hazijapewa kipaombele kwenye media hasa social media tatizo...
  9. ITV - Taarifa ya Habari mnatangaza mtafikiri mnakimbizwa

    ITV ndiyo chombo cha habari ambacho kimekuwa kinafuatiliwa zaidi na watazamaji hasa Taarifa ya Habari ya saa 2:00 Usiku, ukienda bar nyingi ukifika saa 2 tu utaona wanaweka taarifa ya Habari. Muinekano wa studio na muinekano wa picha uko vizuri Lakini pamoja na kuwa nawatazamaji wengi...
  10. Kwanini vyombo vya habari huwa hivioneshi magoli kwenye ligi yetu wakati wa kutangaza habari

    Huwa nashangazwa na jambo hili kwenye ligi yetu Tanzania mimi sio mfuatiliaji wa mpira mara nyingi nikiangalia taarifa za habari wasaa wa michezo huwa napenda kuangalia magoli yamefungwaje Lakini cha ajabu huwa nakutana na simulizi tu ya mchezo mzima ulivyotokea magoli siyaoni. Tofauti na ligi...
  11. Je, aliyetoa 'Taarifa' hii ya 'Majonzi' kwa Vyombo hivi 'Viwili' vya Habari alikuwa ni Mtu Mmoja tu au wapo wengi?

    Nipashe Online Diwani mteule wa Kata ya Kikongo (CCM) Wilaya ya Kibaha, Fatuma Ngozi amefariki dunia na wajukuu wake wawili usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba yake kuchomwa moto na watu wasiojulikana. HabariLeo Online DIWANI MTEULE AFARIKI KWA MOTO KIBAHA Diwani Mteule wa Kata ya Kikongo...
  12. Kwanini waandishi wa habari wengi hukaa upande wa Yanga pale Uwanja wa Taifa?

    Nauliza tu hii imekaaaje? Mechi nyingi waandishi wa habari wengi na hata pia watu maarufu hukaa upande wa Yanga? Ambapo huwa mpaka siti za wanaolipia VIP A wanakosa siti. Pamoja na kutengewa sehemu yao ya kukaa ambayo huwa kama haiwatoshi.
  13. Vyombo vya habari Tanzania vinakwama wapi kwenye habari za Kimataifa?

    Katika taarifa za habari za kimataifa vyombo vya habari vya Tanzania viko nyuma sana. Ni kawaida kuangalia taarifa ya habari na kusiwepo habari za kimataifa hata kama kuna matukio makubwa yametokea duniani. Star Tv kidogo wanajitahidi kutoa habari za kimataifa nazo kuna kipindi zinasua sua au...
  14. Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinaona fujo kwenye Uchaguzi wa Marekani kama uchaguzi wa nchi zinazoendelea

    Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado kutangazwa Radio ya Iran imeripoti kuwa waandamanaji katika jimbo la Minneapolis, Seattle na Los Angeles...
  15. Serikali na Polisi sasa waanze kujibu uzuri madai na tuhuma zinazorushwa mitandaoni na Vyombo vya Habari vya kimataifa

    Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni. Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao isiwezeshe video za namna hii kutumika kueneza uchochezi na uvunjifu wa amani katika nchi yetu bila...
  16. B

    Ukimya wa Vyombo vya Habari kuhusu mapokeo ya matokeo ya Uchaguzi kwa walioshinda na walioshindwa

    Si kawaida vyombo vya habari kuishi habari katika kipindi cha uchaguzi ila kwa Tanzania Vyombo vyote vya Habari havina matangazo balanced, habari wanazotoa ni za upande mmoja hasa kuhusu maoni, mitizamo na mwono wa walioshindwa. Leo hii walioshindwa wakijiunga na chama tawala hata kama...
  17. Habari zenu wadau.. Naombeni kujua utofauti kati ya IPhone 7+ na 8 +

    wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana nataka ninunue soon
  18. D

    Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  19. GE2020 Lindi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Kilwa Kaskazini Francis Ndulane (CCM) - Kura 20,501 Vedasto Ngombale (CUF) - Kura 8,513 Kilwa Kusini -...
  20. I

    GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana. Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store). Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…