habari

  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Wameibuka wandishi wa habari wenye masihara sana, ni afya kwa Taifa?

    Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu. Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
  2. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi habari kuhusu hati fungani ni za kweli?

    Huwa naskia tu mambo ya hati fungani huko serikalini kuwa kuna 15.6% unaweza ipata kwa kiwango ulichowekeza kila mwaka! Je, kuna ukweli wowote juu ya jambo hili maana hii serikali ya michongo isije ikawa ni mambo ya kalenda kama NSSF wakati mzigo mlikabidhiana kisheria.
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera TCRA kusisitiza Professionalism kwenye habari! Acheni double standards, acheni uonevu. Tendeni haki kwa Watanzania!

    Wanabodi, Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule yake ya uongozi sio sawa, sio haki, ni kumuonea na TCRA kufanya maamuzi kwa double standards...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu za wanaoshikiliwa ktk mahabusu mbalimbali, kwa tuhuma za Ugaidi, wazungumza na vyombo vya habari.

    ..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali. ..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini. Cc amanibaraka
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa klabu ya Simba SC wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM

    Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM. Mkutano wa makocha kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Simba na Yanga ulikuwa unafanyika leo katika makao makuu ya...
  6. Tuelimishanee

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Dar walia na kampuni ya HQ kuwapa taulo zilizokwisha muda wa matumizi

    Na Mwandishi wetu, Dar Kampuni inayozalisha taulo za kike ya Human Cherish (HQ), Desemba 8, 2021 ilifanya Mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kutangaza uboreshaji wa huduma za kampuni hiyo,Sambamba na kugawa bidhaa hizo kwa waandishi waliokuepo katika Mkutano huo. Katika hali ya...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania CPJ: Idadi ya waandishi wa habari waliofungwa duniani yaongezeka

    Kamati ya kutetea waandishi habari CPJ imesema idadi ya waandishi habari waliofungwa duniani mwaka huu imefikia kiwango cha juu huku China na Myanmar zikiropotiwa kuwaweka gerezani wanahabari 293. Katika ripoti yake ya kila mwaka, kamati hiyo ya kutetea waandishi habari imesema waandishi habari...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru, vyombo vya habari vilifanya maandalizi ya kurusha matangazo mubashara?Watangazaji walijiandaa?

    Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania China yatajwa kuwa mkamataji mkubwa zaidi wa Waandishi wa Habari duniani

    Ripoti iliyotolewa na Reporters Without Borders (RSF) inasema China ni mkamataji mkubwa wa Waaandishi wa Habari Duniani, ikielezwa takriban Wanahabari 127 wanashikiliwa hivi sasa. Imeeleza, China imekuwa ikifanya kile kilichotajwa kama kampeni ya ukandamizaji dhidi ya Uandishi wa Habari...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc tuliona habari za TFF na GSM kupitia mitandao

    Naambiwa hapa hata Mdhamini Mkuu hakushirikishwa. Yeye kahoji kimya kimya asiharibu hali ya hewa. Hivi viongozi wa hovyo kama hawa wataisha lini.
  11. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Serikali kuvifungulia vyombo vyote vya habari

    Serikali imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina ya mamlaka na wahusika. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne, Desemba 7, 2021 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju wakati...
  12. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Hawa waandishi wetu wa habari, (wachambuzi) walikwama wapi kushindwa kupiga kura za ballon d orr tunazidiwa ata na burundi mwandishi wake kapiga kura

    Nimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr au wenyewe wanachokijua ni kutengeneza mijadala kupitia vipaza sauti vyao
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wanne wapata ajali mkoani Mtwara

    Waandishi wa habari 4 mkoani Mtwara wamepata ajali ya gari na baadhi yao kuumia wakiwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jen.Marco Gaguti. Gari lililopata ajali liliwabeba John Kasembe(Azam TV), Anne Roby(Daily News),Adam Malima(Chanel Ten) na Baraka Jamal(Safari Redio)...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

    Salaam Wakuu, Leo Jeshi la Wananchi Tanzania, linafanya Mkutano na Waandishi wa habari. Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021 Nipo Nimefika kwenye Ukumbi huu kuwajuza kila kitakachojiri. ===== UPDATES: 1022hrs ====== Waandishi wameshafika eneo la tukio 1034...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ina habari juu ya upandaji hovyo ya bei ya vitu?

    Nina masikitiko sana kuhusu kupanda hovyo kwa bei ya bidhaa mbalimbali hapa nchini. Nitoe tu mifano michache niliyoyaona. Kwa siku za karibuni nilikuwa nanunua gesi ya kupikia kilo 15 kwa Tshs.51,000 leo gesi ilipoisha nikaenda kununua na nikaambiwa bei ya gesi ya kilo 15 ni Tshs.59,000...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua habari za Kionga, ambayo ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Pembetatu ya Kionga ilikuwa eneo dogo la kilomita za mraba 395 kusini mwa Mto Rovuma kwenye Bahari ya Hindi, ambayo ilienea kaskazini mwa Rasi Delgado . Ndani ya eneo hilo kuna mji wa Kionga (Kireno "Quionga"), ambao mwaka wa 1910 ulikuwa na karibu wakazi 4,000. Eneo hili lilikuwa sehemu ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari

    Habari Ndugu Zangu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam. Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx. Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na...
  18. Mshirazi

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

    Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Habari wapendwa naomba mnipokee mimi ni new member

    Habari wapendwa naomba mnipokee mi ni new member
Back
Top Bottom