Ukatili wa kijinsia kwenye Vyombo vya Habari

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Taasisi husika zinashauriwa kuwa na mpango mkakati wa kutoa elimu za mara kwa mara maeneo ya kazi ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa ya ngono katika vyombo vya habari

Vilevile ni muhimu kuanzishwa dawati huru la kuripoti kwa siri vitendo hivyo pale vinapotokea
 
Hii ni pamoja na wivu wa mapenzi ambao unaendana na kuwachoma au kuwakata Wanawake kwa kutumia vifaa vyenye ncha kali na kuwasababishia vifo nikimaanisha vyombo vya habari viongeze elimu kuhusu suala hilo.
 
Back
Top Bottom