Vyombo vya habari vinewasaliti Wamachinga na Watanzania

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,389
9,664
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.

Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:

  • Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
  • Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
  • Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
  • Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
Muhimu:

1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.

2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.
 
Miji iwe na utaratibu

Wao waweke biashara popote ila si mbele ya maduka ya watu,
Si kwenye hifadhi ya barabara
Si kwenye miundombinu ya barabara
Si kwenye ofisi za UMMA
images (4).jpeg

images (5).jpeg
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.

Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:

  • Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
  • Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
  • Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
  • Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
Muhimu:

1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.

2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.
Habari ya Chato kwanza!

Pili waelimishe tu Machinga waende maeneo waliyopangiwa ambapo watawekewa utaratibu mzuri na kuanza kulipa kodi Kama watu wengine!

Wale wenye vibanda waambie kuna fremu za hadi elfu 50 kwa mwezi, wakapange na kufanya biashara kwa utaratibu

Hakuna sehemu duniani wasioishi kwa utaratibu hata kichaa anawekewa utaratibu akienda kwenye hospitali ya vichaaa
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.

Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:

  • Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
  • Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
  • Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
  • Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
Muhimu:

1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.

2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.
Na wewe nenda kasaidie kuwatangaza hao Machinga wako.Lazima Nchi iwe na utaratibu,uholelaulizikwa Chato.
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.

Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:

  • Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
Kwa ushauri kama mtu anao uwezo wa kukopa na kukuza mtaji ajitahidi kutafuta fremu ambazo bado zipo, nina uhakika zikijaa demand and supply watu watajenga zaidi..., kama ni machinga wa kweli afuate jadi ya machinga ya kutembeza na sio kusettle..
  • Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
Hata mimi ningependa nikae pale Kariakoo, wateja ni wengi.., ila sababu sina uwezo wa gharama za pale naenda pale panapofaa (hio ndio system ya ubepari) ni kujitahidi kuchomoka kulingana na opportunity zilizopo, kama huwezi sehemu A unaangalia B
  • Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
Kuanzia mwanzo watu walikuwa wanavunja sheria za mipango miji na road reserves, kulikuwa hakuna Haki pale
  • Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
Muda hauwezi ukatosha wala hautatosha iwapo tunatatua tatizo kwa kukata majani ya magugu badala ya kungoa gugu..., (solution ya kudumu ni kuacha kuzalisha wachuuzi kwa kuwa na alternatives, mengine yetu ni kuhahirisha tatizo)
Muhimu:

1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.

2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.
Naam ndio maana hili tatizo ni gumu kutatuliwa na mwanasiasa (haifai mtu afanye yale ili kupata au kukosa kura) bali afanye yale ambayo yanaendana na utaratibu na sheria..., unless otherwise watu watakuwa wanafumbia macho hili tatizo miaka kumi inapita anakuja mwingine na kukua tatizo limekuwa kubwa maradufu
 
Usitishie watu na kura yako, hata bila hiyo watu watashinda tu.

Back
Top Bottom