Kesi ya Mwandishi wa Habari Luqman Maloto kuwashitaki DCI na DPP yasikilizwa, upande wa DCI haujatokea Mahakamani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Sakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa.

Wakili Hekima Mwasipu anaelezea kilichotokea ikiwemo Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kutofika Mahakamani, ambapo kesi imesogezwa mbele hadi Februari 22, 2023.

Katika shauri hilo pia, Maloto anaiomba Mahakama itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane.
 
Kesi ya mchongo ile kutaka kiki tu

USSR
 
Awe makini asije akakosekana yeye kufika mahakamani na kusababisha kesi kufutwa.
 
Sakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa.

Wakili Hekima Mwasipu anaelezea kilichotokea ikiwemo Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kutofika Mahakamani, ambapo kesi imesogezwa mbele hadi Februari 22, 2023.

Katika shauri hilo pia, Maloto anaiomba Mahakama itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane.

Nia ni njema, my problem is: Kwa mahakama zipi? Jaji wepi? wa huyu Ibrahim Hamis Juma
 
Mara nyingi siku ya mention mawakili Huwa hawafiki au wanaoshikiana brief kwa kuwa inakuwa hakuna hoja za kubishaniwa zaidi ya kupanga namna ya kuwasilisha submissions
 
Back
Top Bottom