Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kutetea Waandishi wa Habari kupitia ripoti yake ya mwisho wa mwaka huku ikibainisha kuwa mwaka 2018 idadi hiyo ilikuwa Waandishi 255
China ni ya kwanza kwa kufunga Wanahabari 48 ndani ya mwaka huu huku Uturuki ikiwa nafasi ya pili ikiwa imefunga Wanahabari...
Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo.
Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa hili jambo na sijui nifanye nini ili maisha yaendelee.
Its like chuo was my only stand and now it has...
Wanabodi,
Vyombo rasmi vya habari vya Tanzania, vimelaumiwa kuwa havitimizi wajibu wake wa kuwahabarisha Watanzania, kutokana na Waandishi wa habari kukabiliwa na njaa kali kufuatia kulipwa malipo kiduchu, vyombo vya habari vinakabiliwa na ukata mkubwa, wamiliki wanaendeleza ujinga kwa kuajiri...
Wapelelezi wanaochunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa TheStar Bw. Eric Oloo wamemhisi Afisa Mkuu wa Polisi Bi Sabina Kerubo kuhusika na mauaji hayo.
Afisa huyo wa polisi, ambaye mwili wa mwandishi wa The Star ulikutwa nyumbani kwake mnamo Novemba 21, alipelekwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa...
Kwanini vyombo vingi vya habari vinadharau pale unapowahitaji.
Unawaeza ukawaandikia email au Wasap au call zinafika lakini hawapokei wanasoma lakini hawajibu.
Tatizo linakuwa wapi?
“Heri tuwe na vyombo vya habari viwili kuliko utitiri wa vyombo ambao waandishi wa habari hawajui kesho yake watakula nini,” - Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe.
Chanzo Habari: Mtanzanianews, MtanzaniaDigital leo tarehe 29 November 2019
Ili mbegu iote sharti ioze kwanza na kuharibika ili uhai uchipuke upya,ni jambo la ajabu sana hili kutafakari kwa kina.
Kwa wakulima hawawezi kustaajabu sana kwa sababu ya uzoefu wa jambo hilo ila kuna haja ya kujifikirisha zaidi juu ya mchakato unaofanyika.
Ukihusisha kuoza kwa mbegu na kuota...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji mstaafu Mathew Mwaimu, amesema tasnia ya habari kuwa ndio wadau wakubwa wa haki za binadamu nchini.
Jaji Mwaimu alisema hayo jana katika mkutano uliofanyika Zanzibar wa kuwajengea uelewa wa pamoja makamishna wa tume...
“ Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda dhidi ya nchi yetu kutoka mashirika ya kimataifa au wawakilishi wa mataifa ya nje “. @TZMsemajiMkuu
Ndugu zangu wa...
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ndio ametoa onyo hilo kwa kusema;
"Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda...
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa, kulikoni Canada?
Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako". Prof Kabudi aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa...
BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Mara nyingi mechi kubwa kama hizi utakuta ni channel moja tu inayorusha live zingine uki-tune unakutana na story zingine na kama huna king'amuz chao mpaka uende bat au vibanda umiza.
Wito wangu: Ili kukuza uzalendo kwa timu yetu ya taifa hasa kwa sisi wananchi wa mikoani ingependeza kama Chanel...
Wasalaam,
Kuna tatizo la kimsingi la waandishi wetu wa habari, huenda ni kwa utashi, au uoga au muono pofu.
Hoja ya Bwana Mkapa Jana imesulubishwa na kijihoja Cha kutakiwa kuuwawa kwa bwana mmoja! Nadhani waandishi walitakiwa ku -capitalize kwenye hoja za mleta hoja lakini wengi wao wameacha...
Overview
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a quasi-independent Government body responsible for regulating the Communications in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Act No.12 of 2003 to regulate the electronic communications, Postal...
Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe.
ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
Nilikuwa nadhani ni vyema matangazo yote ya bidhaa za tumbaku yapigwe marufuku, hata zile promotion za sigara kwenye mabaa zipigwe marufuku kabisa.
Hii inatokana na ukweli kwamba wavuta sigara hawahitaji kutangaziwa kwani wakipatwa na kiu ya sigara wataifuta popote ilipo.
Hivyo basi matangazo...
Polisi imetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Waandishi wa Habari wapatao 50 waliokuwa wanaandamana kuelekea Makao Mkuu ya Polisi Jijini Kampala kuwasilisha kero zao juu ya ukatili wa Polisi dhidi yao
Waandishi hao kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Uganda (UJA) walikuwa wakienda kukutana...
Hatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio...