BBC waipongeza JamiiForums, wadai ndio tegemeo pekee la habari za uhakika nchini Tanzania, wampongeza Melo na watendaji wake

BBC wameipongeza Jamii forum kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika
Ole wao na ole wetu. Sasa si bora mngeacha tu jamani? Inamaana kifuatacho ni kuitokomeza. BBC walitakiwa waseme "Wanampongeza sana Rais na serikali ya awamu ya tano kwa kutuletea JF inayotupa habari za uhakika na kweli na kuwa tegemeo la wananchi".
 
Ni kweli chombo pekee huru cha habari kilichobaki Tanzania ni JamiiForums.

Ambapo ni vigumu kununulika maana kuna mamia ya watu huru walio member na wageni wanaochangia mada bila hofu yoyote.

Vyombo vingine ama vimenunulika kusifia au vimeamua kujiweka mbali na habari ambazo wanahisi zitawaudhi watawala.

Mfano ni vigumu vyombo vya habari kufanya taarifa za uchunguzi, kuhoji au kukumbushia matukio yanayoiannika serikali kweupe.

Mfano vyombo vya media wataripoti wabunge wa CHADEMA ni watoro Bungeni bila kukumbushia kuwa wamefunguliwa kesi nyingi za utata na utawala wa awamu ya 5 ili wasiweze kuwepo Bungeni kwa muda mrefu.

Lakini JamiiForums habari kama hiyo ya 'watoro' wataongeza na angalizo, historia , video clips ,matamko ya watawala n.k ndiyo yamewafanya wapinzani kuwepo ktk hali ngumu na hatari kisiasa.
 
BBC wameipongeza Jamii forum kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika

Sasa Max anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.

Source BBC Dira ya Dunia
Pia Mex apunguze uoga wakutufutia nyuzi zenye mvuto wakisiasa hasa zinazo gusa vigogo na mtakatifu, na kuacha za mapenzi kama "kula tunda kimasihara" "kufanya mapezi katika Mazingira hatari" nk. yaani nyuzi zinazo dumu nakuvutia wachangiaji zimebaki kua za ngono na mapezi, Mada za uchumi siasa zimedorora sana kwasabb zinachujwa sana na Mods great thinker wa jf wamepungua kwasababu hiyo ............. always freedom fighter don't fear death or jail....big up mex...
 
Kiongozi bado upo ccm?

Umechange ghafla Sana na kuanza kutumia akili kufikiri

Kwa sasa umeanza kuwa mwana taaluma na mtu wa kufanya analysis

Umeuvua uchama, Ni salama huko ccm kweli?

Hapa Jf ulionekana ni mtu ambaye akili yako imeshikwa na umebaki kopo tupu

Ulikuwa mtu uliyekufa kifikra siku nyingi ingawa mwili wako ulikuwa unaishi, umepatwa na nini?
BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika

Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia
 
Ole wao na ole wetu. Sasa si bora mngeacha tu jamani? Inamaana kifuatacho ni kuitokomeza. BBC walitakiwa waseme "Wanampongeza sana Rais na serikali ya awamu ya tano kwa kutuletea JF inayotupa habari za uhakika na kweli na kuwa tegemeo la wananchi".
 
Kiongozi bado upo ccm?

Umechange ghafla Sana na kuanza kutumia akili kufikiri

Kwa sasa umeanza kuwa mwana taaluma na mtu wa kufanya analysis

Umeuvua uchama, Ni salama huko ccm kweli?

Hapa Jf ulionekana ni mtu ambaye akili yako imeshikwa na umebaki kopo tupu

Ulikuwa mtu uliyekufa kifikra siku nyingi ingawa mwili wako ulikuwa unaishi, umepatwa na nini?
CCM ni chama tawala kuko shwari kabisa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Magu na lile genge lake la kijani huko waliko watakuwa wameumia sana kusikia hizi habari.

Sasa hivi utasikia JF ni wakwepa kodi na wahujumu uchumi, genge la mabeberu nk.
Wamiliki wake watakamatwa na watachakaa kwa kukaa rumande. Kama huamini wewe subiri tu.
 
G huyo Jo ni Ka million kama upinde wa mvua

Back
Top Bottom