Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,671
- 218,175
Tayari Aljazeera , BBC , CNN na AFP wameanza kulifuatilia kwa karibu
Mungu wabariki WazunguTanzania's opposition to boycott elections over 'cheating'
Rights groups say intimidation of political opponents has escalated sharply under President John Magufuli.
Tanzania's opposition party has said it plans to boycott local elections later this month, accusing the government of impeding its candidates from running and making a mockery of democratic processes.
Chadema, the main opposition outfit that has faced increasing hostility under President John Magufuli, made the announcement late on Thursday following an extraordinary meeting of its leadership.
kwani sisi tumesemaje mkuu ?Hakuna jipya, Mabeberu wanatimiza wajibu wao.
Ya mabeberu waachie mabeberu...
Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
Mabeberu hawajaanza Leo , hata kipind cha JK hizi ngonjera zilikuwepo, mwisho wa siku Wapinzani wanamsifu JK
Ya mabeberu waachie mabeberu...
Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
Tulia dawa ikuingieYa mabeberu waachie mabeberu...
Hapa kwetu wapinzani badala ya kuuza sera zao , wapo busy kuangalia matangazo ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Ninaamini kabisa sera za Chadema ni mbovu na hazitekelezeki ndio maana wameemua kucapitalize kwenye matukio badala ya kumwaga nondo.
😆😆😆😆Bahati mbaya watakaomtafsiria watakwambia wazungu wamemsifia sana
Wapinzani hawana cha kuwaambia watanzania, na wamepata sababu nzuri kama kivuli cha kujifichia kwa kuishiwa hoja.
Kwa kasi ya awamu ya tano, kuna mbadala ya sera kweli?? bora mmezuga kutojua kujaza fomu ili mkimbie aibu ambayo ingewakuta.Tulia dawa ikuingie
hamieni huko nje kama kweli mnaamini kuonewa hapa Tz! Mbona kila kukicha mnataka kuwaaminisha mabeberu kuwa hapa kwetu kuna uonevu mkubwa kiasi hicho! Huko ktk nchi zao uonevu mbona umekithiri! Hii mijuha inaboa sana! Tumbafu!
Hizo Sera wapinzani wakauzie wapi?Ya mabeberu waachie mabeberu...