PVC windows gharama zake ni kubwa mno

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,868
Wadau naomba kujuzwa hivi ni kwanini gharama za madirisha ya PVc ni juu mnoo? Na je kama kuna mtu ana connection na fundi anaye tengeneza PVC Windows kwa bei nafuu embu weka connection fasta.
 
Boss bei kubwa ni kutokana na bei ya material sio hata fundi...PVC iko juu na pia aluminium imepanda sa hv...kwahyo ogopa matapeli utaibiwa bure
 
Nataka zasize 5*5 5 pcs , 4*6 2pcs , 6*6 1pcs 2*2 2 pc
Note
Unit ni ft.

Sema utauza bei gani
Ngoja nikaone vipimo
IMG-20210923-WA0110.jpg
IMG-20210923-WA0102.jpg
IMG-20210923-WA0103.jpg
 
Back
Top Bottom