gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Rais Samia: Wananchi walipe gharama halisi ya kuunganishiwa umeme

    Rais Samia amesema Tanesco hawawezi kuunganisha umeme kwa gharama ya Shs. 27,000/= kwa wananchi wote wa vijijini kwa sababu gharama zinatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine. Kwa hiyo amesema kuna sehemu watalipa Shs. 27,000/= na sehemu zingine watalipa gharama halisi.
  2. T

    "Kuna gharama kubwa ya kujifanya shujaa"

    "Kuna gharama kubwa ya kuwa shujaa" Kesi ya Mbowe ilipoanza tulisikia watu mbalimbali wakihudhuria mahakamani na wengine kushinikiza aachiwe, tulishuhudia mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ujerumani na Ubelgiji wakihudhuria na kutoa matamko mbalimbali lakini Leo yupo pekee yake na makosa yake...
  3. P

    Msaada: .Ni wapi naweza pata diagnosis ya anxiety disorder na gharama zake ziko vipi.

    Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
  4. Tajiri wa kinyankole

    Bidhaa zapanda bei, wanyonge walia kila kona

    Tumezoea kusikia neno wanyonge katika serikali ya awamu ya sita kuwa ni kejeli iliyopitiliza kwa watanzania ! Katika pitapita zangu mikoa mbalimbali hususan kagera kigoma mwanza na mara na shinyanga walalamikia vifaa vya ujenzi bei zake kuwa juu mfano cement kwa mkoa wa shinyanga tsh 21000/=...
  5. Frumence M Kyauke

    Ndege ya Las Vegas yatoa huduma ya kufanya mapenzi kwa gharama ya sh million mbili

    Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa kwenye anga la Las Vegas wakiwa kwenye ndege za kampuni hiyo. Kwa mujibu wa Kampuni ya Love Cloud, huduma hiyo itachukua dakika 45 ambapo wapenzi wanaoshiriki tendo la...
  6. FRANCIS DA DON

    Serikali imehamishiwa Dodoma kwa gharama kubwa, kwanini bado mnatutesa kwa misafara isiyoisha huku Dar? Hamna huruma?

    Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki. Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
  7. Simple F

    Naomba kujuzwa duka lenye mabati bora kwa bei nafuu

    Wanajamvi naomba kujuzwa duka lenye mabati yenye ubora na bei nafuu Dodoma maana nahitaji bati kama mia mbili (200) nitashukuru kwa msaada
  8. Replica

    Gharama ya kupeleka marais wawili na misafara yao Chato haijazidi shule wanayoenda kuzindua?

    Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha...
  9. Lycaon pictus

    Serikali ianze kuzalisha chuma ili kupunguza gharama za ujenzi

    Vifaa vya ujenzi vimepanda bei, nondo zimepanda bei. Maghorofa ni nondo, madaraja ni chuma, reli na mabwawa kama JNHP ni nondo. Leo China uzalishaji wa chuma umepungua sababu ya pandemic na bifu lao na Australia. Kwanini serikali isianze kufua nondo.
  10. S

    Ujenzi wa madarasa kwa hela za COVID-19 vs kupanda bei ya vifaa vya ujenzi

    Kumetokea nini kwenye sekta ya ujenzi? Ghafla kila kitu kimepanda bei. Je, kuna uhusiano na ujenzi wa madarasa yanayojengwa kwa kasi kipindi hiki? Ni vifaa kuadimika kutokana na uhitaji mkubwa wa project hii? Je, ni watu wameamua kuchezesha ili wapate kitu kwenye bei hizi mpya? Najua...
  11. Replica

    TANESCO yautaja umeme wa gesi kama 'umeme wa gharama'

    TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme kutoka inapochimbwa inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
  12. K

    Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

    Jionee mwenyewe.
  13. beth

    Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
  14. M

    Kuongezeka kwa gharama ya vifaa vya ujenzi

    Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
  15. Liverpool VPN

    Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

    Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again. Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA" Iko hivi..... Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao. Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba. Maana huwa naingia...
  16. M

    Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo. Rais Samia Suluhu Hassan...
  17. M

    Ni kweli raia tunatakiwa kuhamia Burundi. Gharama za maisha zinazidi kupaa

    Jamani vitu vinazidi kupaa bei kana kwamba hatuna wa kutusemea,jmosi nilinunua cement kwa 20,000/= Leo nimedamka tena kwenda kununua cha ajabu,imepanda na kufika 21000/= Sasa najiuliza hii cement nayo inatoka ng'ambo ya nchi? Je shida ni material au mafuta au nini au serikali nayo imeongeza...
  18. sky soldier

    Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
  19. kavulata

    Gharama za kuwaondoa machinga zibebwe na viongozi wa mitaa

    Kasi ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao inapungua kutokana na rasilimali watu, fedha, vifaa na muda kuelekezwa kwenye kitatua shida ambazo zimezalishwa na viongozi tuliowapa madaraka na kuwalipa kwa Kodi zetu. Wakati mmachinga wa kwanza anaanza kuweka biashara sehemu isiyo sahihi viongozi...
  20. Determinantor

    Gharama za bando zitaua creativity, biashara na ndoto nyingi za vijana

    Nawasalimu wote. Nitaangazia nyanja kadhaa na nitakapoweza tena mifano. Pale patakapopungua naomba mjazie. Hivi karibuni makampuni ya mawasiliano yaliongeza karibia kwa 50% gharama za Internet kwa Watumiaji kwenye ile option waliojificha humo kama "Offer" ya mtandao! GB tatu kwa mfano kwa...
Back
Top Bottom