gari

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi katika tatizo la Hand break ya gari kung'ang'ania

    Hii issue imenitokea mara mbili. Mara ya kwanza nilikuwa naendesha gari Pasaka kwenye mvua na tope kali sana. Ile gari baada ya Pasaka nili ipark kama wiki moja hvi bila kuiendesha. Siku natoka gari haisogei mbele wala nyuma.. nilihangaika nayo mbele nyuma kama dakika 15 hvi.. nikasikia imepiga...
  2. Stanboy

    JamiiForums Tanzania Sawa tutaondoka wote, una gari?

    Wazee tafuteni hela mnunue magari,ni muhimu sana kuliko mnavyochukulia. Siku moja niko zangu club moja hapa mji pendwa unaoongoza kwa raha za kila aina hapa Tanzania.Mara hatua kama 5 hivi nikamuona mrembo matata mwenye shepu ya kike hasa, sura yenye kuvutia na rangi ya kichaga kaketi pekee...
  3. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Gari lililokuwa nyuma la Kitanzania sasa limelipita kwa Kasi ya ajabu Gari la Kenya lililokuwa likiongoza

    Kwa muda mrefu sana Gari mahiri la Kimashindano la Kenya lililotengenezwa kutoka nchini China lilikuwa limeliacha kwa mbali mno Gari lingine la Kimashindano la Tanzania ambalo nalo limetengenezwa na Wachina hao hao ila kwa sasa upepo umebadilika ghafla. Ni kwamba katika hali isiyo ya kawaida...
  4. manchoso

    JamiiForums Tanzania Mzungu alietengeneza Gari bila shaka alifikiria na kutazama uumbwaji wa binadamu

    Utukufu wote anastahiki Mwenyezi Mungu, Alliemuumba binadamu kisha akampa akili na ufahamu, Umbile la binadamu ni kielelezo cha uwezo wa Mwenyezi Mungu Alexander Bell inasemekana mama na mke wake walikuwa viziwi pindi anawaza na kuja kufanya uvumbuzi wake na hata Galileo Galilei inasemekana...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania What Gado says about corona and remedy inhalation

  6. U

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inatoa moshi mweupe mwingi kama wingu naomba msaada

    Tafadhali wataalamu na wazoefu wa jukwaaa letu pendwa 1.Gari yangu ilianza kutoa moshi mwingi kama wingu kubwa na ilikuwa inaonyesha engine check baada ya hapo nikabadilisha oil s40 na baada ya kuchange oil ikawa haitoi tens moshi kabisa na ile taa ya check engine ikazima Ila baada ya halo...
  7. Mbayo wa Giika

    JamiiForums Tanzania Gari ipi itanifaa kati ya Spacio na Toyota Wish?

    Wadau naombeni ushauri. Mimi si mtaalamu wa magari ila nahitaji kuwa na gari kwa ajili ya familia ya watu kama saba hadi nane na matumizi ya hapa na pale, safari za kazini na mara chache safari ndefu za mikoani na hasa vijijini. Ninahitaji gari ambalo ni rafiki kwa matunzo na mafuta na linaweza...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naombeni kujua bei ya hii gari inatakiwa kuuza bei gani

    Habari wakuu na poleni kwa changamoto za Covid-19. Nipo kazini hapa na boss Ritesh, ana gari yake ya passo ka-import mwaka jana mwishoni ili aiuzie kampuni hii ambayo yeye ni afisa manunuzi. Sasa kampuni imeyumba kiuchumi, na Ritesh mkataba umeisha anatakiwa arudi India soon, hivyo kanipa kazi...
  9. Prodigy Oligarchy

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla hujaagiza gari, huenda ikakufaa

    Salaam sana jf, Naomba kukuwekea hapa, Magari tofauti tofauti kutoka kampuni mbali mbali za uuzaji magari nje, pamoja na bei zake hadi gari kufika bandari ya hapa Dar es salaam (CIF). Tutaangalia kwa pamoja na kusaidiana ushauri, na kwa ambaye huwenda ameona gari anayohitaji ama kuipenda...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna faida kusajili gari nje ya nchi

    Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
  11. Prodigy Oligarchy

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni bora ya kuagiza gari Japani

    Wana Jf habari, Pameibuka makampuni mengi sana, ambayo yanajihusisha na uuzaji magari kutoka japan kuleta huku Na kila moja akijitangaza kuwa bora zaidi. Kitu ambacho kwa wageni ambao wanahitaji kufanya maamuzi ya uagizaji, huwa kinawachanganya, wasijue ipi ni sahihi ipi sio. Naamini tunao...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nina gari yangu aina ya GX 100, tatizo lake inavuta upande mmoja

    Wakuu kwema, nina gari yangu aina ya GX 100, tatizo lake inavuta upand mmoja hasa unapokuwa kwenye barabara ambayo haijanyooka. Nishapima balance na kubadilisha bush zote huko chini lakini bado tatizo haliishi, mwenye utaalamu anipe msaada plz
  13. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Jipatie Gari La Bajeti Ya Milion 4 Hadi 6

    Nafuu Cars tumekuwa tukiwashauri watanzania kwa muda mrefu namna ya kuingiza magari toka Japan kwa bei Nafuu. Na kwa sasa tumekuja na huduma ya PLAN B ili kutimiza ndoto za wanaotaka kumiliki gari au kubadili pasi na kusubiri muda mrefu wa kuagiza. Hivyo tumekusanya magari ya wateja wa mwanzo...
  14. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari Toyota Ra4 ( kilitime)

    Nahitaji Gari tajwa hapo juu Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash Mwenye nalo anidm Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mpiga chafya aleta balaa kwenye gari, Wananchi wamteremshia Bunda kisa hofu ya Corona

    Wakuu sitaki tuchoshane, amani iwe kwenu! Leo asubuhi kuna jamaa yangu moja wa kitambo yuko huko Musoma kanipigia simu akinieleza kuwa kuna mgonjwa wa corona Bunda na mwingine Musoma mjini. Nikamdadisi hakuwa na taarifa sahihi nikamwambia asipanik na wala asieneze uzushi wanaweza kuleta...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

    Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road" Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu...
  17. afrique

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  18. Ashura9

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

    UFAHAMU KWA WENYE MAGARI; Tairi ikizidi miaka mitano haifai kutumika. Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limeanza kufanya uchunguzi zaidi kuhusu tukio la Msimu Jaffari (33), kudaiwa kuchoma moto gari ya mumewe, ambaye wiki iliyopita alitoa taarifa ya kuongeza mke wa pili katika ndoa yake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Suleiman Hassan alithibitisha...
  20. No Escape

    JamiiForums Tanzania Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

    Usishangae Ukaanza kutengwa,kukopwa na Hata kurogwa kwa sababu huku kwetu tunaamini kabisa huwezi kuwa na hivyo vitu km wewe sio Tajiri na sie huku tuna Aleji na hao watu!!
Back
Top Bottom