gari

  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania TRA, inakuwaje ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari lenyewe?

    Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe
  2. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

    1. Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na nembo ya taifa ya Bwana na Bibi. Kwa Kiingereza magari haya hufahamika kama State Cars. 2. Spika wa...
  3. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufafanuliwa kuhusu Gari aina ya Toyota Belta

    Wasalaam Wanajamvi, Sina Mengi naomba mwenye Kujua kuhusu gari aina ya Belta Kiujumla Msaada kwa Ufafanuzi. Je, Belta na IST ipi gari bora katika kila Nyanja? Nawakaribisha kunitoa Tongotongo na Ahsanteni! Toyota Belta
  4. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inahitajika

    Habari za jioni wakubwa na wadogo. Naomba kuzamia kwenye mada Nahitaji gari kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mkoa wa Singida si unajuwa tena kipindi cha kampeni, gari hiyo ikipatikana itafanya kazi mkoa wa Singida ila anaeitaka kwa sasa yupo Kahama unakuja nyumbani mnaweka mkataba...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

    Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo. Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
  6. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa sana kufanya check up ya mifumo ya umeme na electronics kwenye gari yako

    Kwanza kabisa naomba radhi kwa sababu thread kidogo ni ndefu. Lakini ni muhimu kuisoma kwa sababu inaweza ikaokoa gharama kubwa au hata kuokoa maisha yako. Sasa tuendelee.. Watu wengi wakienda kufanya ukaguzi(check up) wa magari yao, Huwa wanakagua vitu kama Brake pads/brake shoes, ball...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Nina kagari Toyota IST ambako kana namba CYZ jamaa mmoja alikuwa anakapenda haka kagari kutokana na condition yake na jamaa ni mbahili pia.binafsi nlikanunua sababu ya mamsap awe anaendea salon na sokoni.baadaye akaja akawa anataka Crown "Toyota" so haka kakabaki hakana kazi. Kiukweli gari ipo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa sehemu ambayo nitaweza repair bodi za Landrover kwa Dar es salaam

    Habari. Jaman mwenye kujua gereji au fundi Mtaalam anae repair bodi za landrover kwa Dar es salaam anisaidie Namba yake. CC. MshanaJr
  9. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza gari ila imetembea zaidi ya kilometer 200,000

    Hello wakuu Nataka kuagiza X-Trail new model 2007, ila tatizo ni kuwa ina kM zaidi ya laki 2. Sasa nakuwa na wasiwasi, je inaweza ikawa engine yake haijachoka. Kuna mtu kaniambia road za wenzetu Japan hazina shida Kama huku bongo. Hebu naomba ushauri wenu wakubwa wa kazi.
  10. muzi

    JamiiForums Tanzania Service inayohitajika mara kwa mara kwa gari yako

    Habari wapwa na natumahi tunaendelea kunawa mikono kama ilivyo ada. Kwa thread hii tuzungumzie service inayohitajika kufanyika kwa magari yetu mara kwa mara. Wengi wetu tumekuwa tukitengeneza magari yetu pindi zinapoharibika lakini wataalamu wanatushauri kubadilisha aina na baadhi ya vifaa pale...
  11. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini pamoja na ujio wa Magari mengi na mapya duniani lakini Gari za Mercedes Benz, Rolls Royce, Porsche na Lamborghini zitaheshimika Milele?

    Leo hii sijui Mzukulu nimekumbwa na nini yaani similiki hata Baiskeli au Guta lakini nayazungumzia Magari ambayo sina hata Ubavu wa Kuyamiliki. Lamborghin Mercedes Benz Porsche Rolls Royce
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Naomba kujuzwa namna ya kuongeza kimo/ urefu wa gari

    Salam wakuu, Nimekua mtumiaji wa magari yaliyo chini. Nilianza kutumia Toyota RunX na sasa natumia Subaru imprezza. Katika matumizi yake nimekua napata changamoto ya kimo chake ikiwemo kuharibu mabampa. Zaidi ya mafundi wawili wamenishauri...
  13. Double line

    JamiiForums Tanzania Pata picha umemuazima rafiki yako gari

  14. lite boe

    JamiiForums Tanzania Taja sheria moja ya gari ya polisi aina ya Defender

    Message…
  15. Jeff

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ukokotoaji wa ushuru wa gari TRA

    Habari wandugu! Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age). Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa...
  16. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kupiga Picha ukiwa ama umeshika Gari la Kifahari au umekalia katika Kiti cha Dereva huku ukijijua kabisa kuwa hujui hata Kuendesha kuna maanisha nini?

    Mliosoma na Kubobea hasa katika Saikolojia hii hali huwa mnaiitaje na Kitendo husika pia huwa kina maana gani kwa Mhusika?
  17. D

    JamiiForums Tanzania Land Rover Discovery 4 - Ikoje hii gari, naomba uzoefu na ufafanuzi wake

    Naihusudu sana Discovery 4 angalau kwa muonekano na chapa yake ya Land Rover, japo nikiri sijawahi kuiendesha hivyo siijui kivile. Kama walivyo watu wengi wa ukanda wa Afrika Mashariki, tumekuwa tuikitumia magari ya mjapani haswa haya yaliochini ya kampuni iliyoanzishwa na Bwana Kiichiro...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mchome Mwenyekiti wa Bavicha Kilimanjaro aliyesafirishwa kuelekea Dar es salaam, Hayupo kwenye vituo vya Polisi , yuko wapi au gari bado haijafika ?

    Gari iliyombeba imetajwa kufahamika kwa namba za usajili za T 363 CDU
  19. Bwegemsela

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya kumiliki gari?

    Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi: Gari kupoteza maji kila siku

    Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji. Kwenye reserve tank yako hayaongezeki hayapungui, na hakuna dalili zozote za engine oil kwenye radiator wala reserve...
Back
Top Bottom