Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,812
- 2,737
Nafuu Cars tumekuwa tukiwashauri watanzania kwa muda mrefu namna ya kuingiza magari toka Japan kwa bei Nafuu.
Na kwa sasa tumekuja na huduma ya PLAN B ili kutimiza ndoto za wanaotaka kumiliki gari au kubadili pasi na kusubiri muda mrefu wa kuagiza. Hivyo tumekusanya magari ya wateja wa mwanzo wanaotaka kubadili na kuyauza tena kwa bei nafuukati ya milioni 4 hadi 6, ili wateja wapya wapate gari hizi .
Sifa kubwa ya gari hizi ni pamoja na
1.CC 1490 kushuka chini ambazo hutumia mafuta kiasi(economy)
2. Hufaa kwa miradi kama Uber, Taxify au matumizi binafsi
3.Hazichoki Haraka
4. Ni rahisi kuziuza unapotaka kubadili gari
5.Spear zake kupatikana kirahisi
Tutakuwa tunaweka gari tulizonazo kila wiki hapa.Lakini kama gari huioni hapaau kupata picha zaidi na maelezo ya gari iliyopo, Tafadhali wasiliana nasi kwa namba
0713 039875