gari

  1. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sensor kuu katika gari (master sensor)

    Gari ina sensor nyingi sana kama MAF sensor, MAP sensor, A/F sensor, IAT sensor, ECT sensor, TPS sensor, CPS, VSS n.k. Lakini katika hizo sensor zote kuna sensor moja tu ambayo ndio sensor kuu (master sensor). Ukuu wake unatokana na sababu kwamba sensor hiyo hutumika katika operations nyingi...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuiga

    Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni
  3. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kuangalia level ya ATF kwenye gearbox ya gari yako

    Kama huwa unaangali level ya ATF kwenye gari yako kama unaangalia Engine oil basi unakosea sana. Hata mimi nilikuwa na mawazo kama hayo mpaka nimekuja kujua kuwa kumbe huwa nakosea. Kwa asilima kubwa ya magari njia sahihi ya kuangalia level ya ATF ni wakati engine ina joto, gari ipo kwenye...
  4. dosama

    JamiiForums Tanzania Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
  5. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, nina akaunti active Uber, Bolt nk

    ....
  7. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Nataka gari mpya toka showroom.. namba d

    Nina milion 1 na laki 3..maelewano yapo ila isizidi milion 1 na laki 4
  8. blakafro

    JamiiForums Tanzania Gari mbili aina ya TATA na Canter (New Model) Box Body Tani 3.5 zinakodishwa kwa mkataba

    Wakuu kwema? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu hapo kuna gari zinakodishwa kwa kazi za mkataba. Gari zipo mbili ya kwanza ni TATA ya tani 3.5 na nyingine ni Canter New Model ya tani 3 zote ni box body. Gari zinafaa kwa shughuli mbalimbali kama kubebea soda, maji, gesi na bidhaa...
  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari kumisi (Engine Misfire), Sababu zake na baadhi ya solutions zake

    Tatizo la engine kumisi(engine misfire) linaweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile, damaged, worn au bad spark plugs, weak ignition coil, broken, clogged au no current katika injector nozzle, fuel pressure regulator, fuel pump, vacuum leaks, sensors kama MAF, MAP, O2, IAT, ECT n.k. In...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

    Umoja wa Mataifa (UN) umewapeleka likizo bila malipo wafanyakazi wake wawili ambao wanakabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari ya kazini nchini Israel. Maafisa hao walipigwa picha ya video katika gari ambayo ilikuwa ina nembo ya UN- katika mji wa Tel Aviv katika mtaa wa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Gari nne likiwemo lori la mafuta zimegongana na kusababisha ajali Mlandizi, mmoja afariki

    Gari nne likiwemo lori la mafuta zimegongana na kusababisha ajali katika eneo la Mlandizi mkoani Pwani usiku wa kuamkia leo Julai 2, na kupelekea kifo cha mtu mmoja na majeruhi watatu, abiria wanaotokea Dar es Salaam wameshauriwa kutumia barabara ya Bagamoyo. Akifafanua zaidi kuhusu tukio hili...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada gari imegoma kuwaka ghafla

    Habari zenu, Nipo na project yangu kufanya engine conversion ila sasa nimekwama njiani. Nimeweka engine ya 2jzge non vvti kwenye gari, siku za mwanzo, mafundi walifanya wiring na wakajaribu kuiwasha ikakubali fresh. Kwa vile ilikuwa kuna vitu vyengine kama exhaust nlikuwa sijamaliza...
  13. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Mambo haya yanaweza kuharibu battery ya gari yako. Ni vema kuyaepuka

    Vitu vifuatavyo vinaweza kuharibu battery ya gari yako. 1. Kuweka battery yenye low capacity ukilinganisha na battery ambayo imekuwa recommended kwenye Specifications za manufacturer Baadhi ya watu anaweza kuweka battery ambayo ni ya low capacity ukilinganisha na battery iliyokuwa recommended...
  14. Gabbimakini

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa

    Toyota harrier (tako la nyani) Gari imetunzwa Haijarudiwa rangi Full ac Full documents Bei ni 19M Tunakusaidia kuissue transfer of ownership Piga simu 0688351006
  15. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

    Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao. Wabongo sio watu wazuri. Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Natoa siku saba walioiba matairi ya gari la wizi likiwa kituoni baada ya kukamatwa likiwa salama watakipata Cha Moto

    Mambo mengine yanakera Sana! Ebu fikilia, Gari limeibiwa mwezi wa nne, Tumehangaika kulitafta hatimaye likapatikana likiwa limefichwa huko Kimara na dreva wake kuuwawa na waliohusika na wizi huo walikamatwa wote na Cyber Crew! Wakati taratibu zingine za kimahakama zikiendelea, Gari Hilo likiwa...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mlitusema wakati tulikawia kutoa gari kutoka baharini, nyie mumeshindwa kwenye mto, siku kumi sasa

    Kuna kipindi gari lilizama baharini na kutoweka, ikabidi wataalam Wakenya watumie mbinu za hali ya juu kulisaka mpaka wakalipata na kulitoa na kuopoa miili ya mama na mwanaye, kwa siku hizo wakati juhudi zinaendelea, JF ilikua inawaka moto, Watz walikua wanafungua nyuzi kila siku za kuchekelea...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania BABATI: Watatu wafariki kwa kugongwa na gari ya Askari wa TANAPA

    Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Mamire wilayani Babati mkoani Manyara waliokuwa wakisafiri kwa kutumia bodaboda wamefariki duniani papo hapo baada ya kugongwa na gari la Askari wa Wanyamapori wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire(TANAPA) waliokuwa doria katika eneo la kijiji hicho linalopakana na...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Partnership : Biashara ya uuzaji mafuta ya gari

    Habari Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari Ninatafuta partner. Masharti : Awe na skype, tuzungumze kwa haraka. Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja. Ahsante
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania TRA, inakuwaje ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari lenyewe?

    Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe
Back
Top Bottom