Nina gari yangu aina ya GX 100, tatizo lake inavuta upande mmoja

Gramunyo

Member
Mar 23, 2018
45
18
Wakuu kwema, nina gari yangu aina ya GX 100, tatizo lake inavuta upand mmoja hasa unapokuwa kwenye barabara ambayo haijanyooka. Nishapima balance na kubadilisha bush zote huko chini lakini bado tatizo haliishi, mwenye utaalamu anipe msaada plz
 
Back
Top Bottom