Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,631
Kwa muda mrefu sana Gari mahiri la Kimashindano la Kenya lililotengenezwa kutoka nchini China lilikuwa limeliacha kwa mbali mno Gari lingine la Kimashindano la Tanzania ambalo nalo limetengenezwa na Wachina hao hao ila kwa sasa upepo umebadilika ghafla.
Ni kwamba katika hali isiyo ya kawaida kabisa huku Watu ( Watazamaji ) wakiwa wameshikwa na Butwaa ni kwamba hivi sasa Gari la Tanzania limelizidi kwa Umbali wa Kilometa 480 Gari la Kenya ambalo kwa sasa bado linakimbia kwa Umbali wa Kilometa 384 tu.
Na Wataalam wa Mashindano ya Magari wanasema kuwa kwa hali inavyoonekana kwa sasa baada ya Dereva wa Tanzania Kuficha Mbinu zake za Kimashindano kuna uwezekano baada ya muda mfupi ujao Gari la Tanzania likakimbia kwa Kilometa 750 hadi 1000 huku Gari la Kenya likikomea ( likiishia ) tu Kukimbia kwa Kilometa kati ya 450 au 600.
Hivyo basi kupitia Mbio hizi za Mashindano haya ya Magari kati ya Gari la Kenya na la Tanzania ambayo yapo chini ya Mdhamini Mkuu wa Kichina kutoka Mji wa Wuhan tunaamini yale maneno ya Kihenga yasemayo kuwa siku zote Kutangulia si Kufika. Gari ya Kenya ilitangulia kwa muda mrefu ila sasa Gari la Tanzania limeshika Kasi na limelipita la Kenya.