gari

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri wa gari Suzuki Jimny

    Suzuki Jimny Wakuu naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa kuhusu hii gari maana binafsi ilichonivutia ni kuwa juu na pia utumiaji wa mafuta sifahamu kuhusu gharama za spare pamoja na uimara wake. Maana mim nahitaji gari ya kuzungukia kwenye shughuli zangu na kwa kuwa ninakofanyia shughuli...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna jinsi ya kuzuia ufa wa kioo cha gari au kuziba?

    Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka. Je, kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
  3. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

    Recently nimenunua gari ndogo (babywoka). Sisemi gari gani lakin ni mojawapo kati ya haya matano (IST, VITZ, Passo, Honda Fit, Suzuki Swift) Leo asubuhi sana kuna issue nilikua nawahi pale UDSM. Nilikua natokea Ubungo mataa, wakati nakunja pale kona ya njia panda ya Chuo (kuna kituo cha...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment. I'm ready to work any place...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya akili kuwaacha wananchi wafe/wakinamama wajifungue njiani wakienda kwa miguu hospitali then uwasombe kwa gari wakati wa kampeni

    Siwezi sahau siku niliposimamishwa njiani na mama aliyevaa flana ya kijani akiwa na mwanae wakike aliyekaribia kujifungua. Kwanza nilimpita, lakini nilipofika mbele kidogo huruma ilinijia nikaamua kurudi kuwachukua na kawapeleka mpaka hospitalini. Baada ya kuwashusha yule mama alisema asante...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Achoma gari makusudi baada ya kushindwa kulipa deni la gari hilo

    POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad...
  7. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Zingatia sana kama taa za Dashboard zinawaka kabla ya kuwasha gari lako

    Unapoweka switch on kwenye gari lako ni vizuri ukahakikisha angalau taa hizi zifuatazo zinawaka kwenye dashboard ya gari lako. Taa hizo ni 1. Check engine 2. Oil pressure 3. Airbag 4. Coolant temperature 5. Battery 6. Automatic Transmission Temperature (Kama ipo) 7. ABS In fact, Ni...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

    Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na...
  9. Lemaitre

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Eicher truck inauzwa

    Make: Eicher Mode: truck Model number: MC2B6 Year of manufacture: 2017 Engine Capacity: 3298 Fuel used: Diesel Seating capacity: 3 Mileage: 15868 Price 32 Millions Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa, unaweza kuja kuiona, inapatikana Tabata Kinyerezi, Dar es Salaam. kwa mawasiliano zaidi 0713626992
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gari inahitajika haraka

    Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Toyota Wish au Toyota Volt basi mteja ushampata. No C/D Wasiliana na mimi kwa sms/whatsapp/ call 0699494650 DSM Update1 *Nahitajii raum au ist namba d offer ya mteja million 6, Whatsap picha 0699494650
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Japan yafanya jaribio la kwanza la kurusha gari inayopaa kwa dakika 4

    A Japanese company has announced the successful test drive of a flying car. Sky Drive Inc. conducted the public demonstration on August 25, the company said in a news release, at the Toyota Test Field, one of the largest in Japan and home to the car company’s development base. It was the first...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Japan wafanya onyesha la gari linalopaa angani - vipi Afrika tunajifunza nini kwa wenzetu

    @mod nilikusudia kutumia neno "onyesho" Licha ya Japan kukumbuwa na majanga ya kila aina, ila wao huko kwao hufanya mambo ya kiajabu sana yanayohitaji ubongo, Waafrika huku tuna kila kitu ila bado huwa tumechelewa balaa... The SD-03 flying car A Japanese company has announced the...
  13. yuda75

    JamiiForums Tanzania Nataka gari lisilo zidi 5,000,000

    Habari wakuu Mwenye gari zuri no kuanzia B Nipo DSM kama upo nicheki. Lakini lazima twende TRA,na polisi kwa ajili ya ukaguzi wa umiliki pia kutest gari umbali mrefu lisije kwenda kilomita moja likachemsha. gari ndogo za kawaida isiwe \ passo vits ist
  14. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

    Wakuu habari. Nina safari ya kwenda Arusha siku ya Jumatano ama Alhamisi. Sasa naomba kujua basi ambalo ni luxury au basi semi luxury zuri lenye uhakika. Ni muda sijasafiri hiyo barabara, hivyo naomba kujua ni basi gari zuri na lenye huduma nzuri na zenye uhakika. Ahsante.
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Car alarm systems si salama sana, kuna siku nilikua nafungua gari kwa remote, gari nyingine nayo ikafunguka

    Ilikuwa ni sehemu ya parking ya magari mengi sana, nilishangaa kila nikifumgua gari kwa remote , kuna gari nyingine kama mita 10 toka nilipo nayo ikawa inatoa mlio kama inafunguka, nikifunga kwa remote na yenyewe inatoa mlio kwamba inafunga sambamba na ile inayolengwa. Nikarudia hilo zoezi la...
  16. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, leo ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gari lake ambalo limehifadhiwa na Jeshi la Polisi Mkoa huo jaribio la mauaji...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

    Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi. Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika...
  18. Michaelson chujagi

    JamiiForums Tanzania Wakuu nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza na ninaishi mazingira ambayo ni rough kiasi. Naomba kujua ni gari gani dogo linaweza kuvumilia

    Wakuu naomba ushauri wenu especially kwa anaejua. Nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza, naishi Nyasa Ruvuma ambako barabara ni rough Sana. Naomba kujua gari gani dogo la bajeti rafiki linaloweza kuvumilia mazingira haya na kula mafuta kidogo?
  19. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Naomba nijuwe mfumo wa uendeshaji wa gari hii

    Wataaalamu naomba nijuzwe operating system ya hizi aina ya Scania, mpangilio wa Gia uko vipi? ASANTE.
Back
Top Bottom