BABATI: Watatu wafariki kwa kugongwa na gari ya Askari wa TANAPA

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
438
1,000
Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Mamire wilayani Babati mkoani Manyara waliokuwa wakisafiri kwa kutumia bodaboda wamefariki duniani papo hapo baada ya kugongwa na gari la Askari wa Wanyamapori wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire(TANAPA) waliokuwa doria katika eneo la kijiji hicho linalopakana na hifadhi hiyo.

Kamanda wa polisi mkoani Manyara Paul Kasabago amesema ajali hiyo imelihusisha gari aina ya Toyota Land Cruiser namba SU 417 mali ya TANAPA linaloshikiliwa katika kituo cha polisi Babati baada ya dereva wake kulitelekeza na kutoweka baada ya kuigonga pikipiki iliyokuwa ikiendeshwa na Aaidi Alli ambaye amefariki dunia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom