Natoa siku saba walioiba matairi ya gari la wizi likiwa kituoni baada ya kukamatwa likiwa salama watakipata Cha Moto

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Mambo mengine yanakera Sana!

Ebu fikilia, Gari limeibiwa mwezi wa nne, Tumehangaika kulitafta hatimaye likapatikana likiwa limefichwa huko Kimara na dreva wake kuuwawa na waliohusika na wizi huo walikamatwa wote na Cyber Crew!

Wakati taratibu zingine za kimahakama zikiendelea, Gari Hilo likiwa ni miongoni mwa vielelezo vya ushahidi! Nikaomba nipatiwe ili liendelee kufanya biashara kwa masharti kuwa sitakiwi kuliuza hadi kesi itakapoisha, ili pindi wakilihitaji mahakamani kwa ushahidi nilipeleke;

Nilikubali masharti hayo, lakini wakaomba niwapatie funguo wa akiba ili waliendeshe wao kulipeleka kwa mkaguzi (Vehicle inspector) kabla ya kunikabidhi rasmi! Nikawapa funguo!

Hadi Sasa Zimepita wiki mbili wananizungusha hawataki kunipa gari Hilo, Kibaya zaidi Sasa wanasema gari lenyewe sahivi matairi mawili halina, halafu na radio haimo; Eti ndiyo maana wanachelewa kunipatia kwasababu upelelezi unaendelea!
Inauma Sana! GARI IMEKAMATWA IKIWA SALAMA NA FUNGUO WAKAOMBA; Sasa imekuaje ghafla matairi na radio vimepotea!?
Nachoamini Ilikuwa kituoni sehemu salama! Matairi yamepoteaje?

NATOA SIKU SABA waliohusika wote na wizi wa matairi hayo warudishe haraka vinginevyo napita Nao hivi, maana hawana huruma hata kidogo!

Iwe ni watu wa breakdown au ni nani yoyote aliyehusika Itakula kwao hadi kizazi Chake Cha tatu!

SIWAPIGII TENA KUFUATILIA TOENI NA INJINI KABISA!
 
Mkuu kachonge ufunguo kachukue gari lako la sivyo litaozea hapo ikiwezekana achana na iyo kesi cha muhim gari yako umeipata hayo mataili ya IST shi laki mbili tu unapata mapya kabisa
 
Kuna sehemu ulikosea ndio chanzo cha yote hayo. Ilipokamatwa kimara ilifikaje apo pilisi? Kwa nini ukubali wao ndo walipeleke kwa vehicle inspector bila ya wewe na kwa faida ya nani ama zaidi ya kifungo unadhani hao wezi watakufidia chochote?

Hopefully ulijitambulisha tofauti kama tu ulivyojielezea hapa na ukiendelea hivyo utalizwa sana vingine vingii. Kwanza iyo Gari uliipataje unashindwa kununua tairi used na kupiga moyo konde kusonga mbele au ndiyo wale matajiri wenye tabia za masikini!!!!
 
Mkuu kachonge ufunguo kachukue gari lako la sivyo litaozea hapo ikiwezekana achana na iyo kesi cha muhim gari yako umeipata hayo mataili ya IST shi laki mbili tu unapata mapya kabisa
Kesi kuna mtu kauawawa!!! Haiwezeshi isha hivi hivi, ushahidi huo, na akiwa mjuaji sana hiyo gari itawekwa kituoni hapo hadi liwe chuma chakavu, kisa upelelezi bado!!! Hii ndio afrika bwana, msimamizi wa sheria anaweza kukukomoa bila hata sheria yoyote kumbana!! Kwamba busara inazidi sheria inavyosema
 
Mambo mengine yanakera Sana!

Ebu fikilia, Gari limeibiwa mwezi wa nne, Tumehangaika kulitafta hatimaye likapatikana likiwa limefichwa huko Kimara na dreva wake kuuwawa na waliohusika na wizi huo walikamatwa wote na Cyber Crew!

Wakati taratibu zingine za kimahakama zikiendelea, Gari Hilo likiwa ni miongoni mwa vielelezo vya ushahidi! Nikaomba nipatiwe ili liendelee kufanya biashara kwa masharti kuwa sitakiwi kuliuza hadi kesi itakapoisha, ili pindi wakilihitaji mahakamani kwa ushahidi nilipeleke;

Nilikubali masharti hayo, lakini wakaomba niwapatie funguo wa akiba ili waliendeshe wao kulipeleka kwa mkaguzi (Vehicle inspector) kabla ya kunikabidhi rasmi! Nikawapa funguo!

Hadi Sasa Zimepita wiki mbili wananizungusha hawataki kunipa gari Hilo, Kibaya zaidi Sasa wanasema gari lenyewe sahivi matairi mawili halina, halafu na radio haimo; Eti ndiyo maana wanachelewa kunipatia kwasababu upelelezi unaendelea!
Inauma Sana! GARI IMEKAMATWA IKIWA SALAMA NA FUNGUO WAKAOMBA; Sasa imekuaje ghafla matairi na radio vimepotea!?
Nachoamini Ilikuwa kituoni sehemu salama! Matairi yamepoteaje?

NATOA SIKU SABA waliohusika wote na wizi wa matairi hayo warudishe haraka vinginevyo napita Nao hivi, maana hawana huruma hata kidogo!

Iwe ni watu wa breakdown au ni nani yoyote aliyehusika Itakula kwao hadi kizazi Chake Cha tatu!

SIWAPIGII TENA KUFUATILIA TOENI NA INJINI KABISA!
Nilipokua mkoa Fulani mpakani na Zambia kulitokea kukamatwa kwa
IT bmw x 5 jamaa angu alikua lindo akanyofoa radio mwenye ndinga toka dar akatimba mojkwmoj kwa RPC na kulipa makosa yote tatizo akakuta radio Hanna alkiwasha ilibidi wale walio kua lindo tokea kukamatwa kwake mpaka siku mzee baba alipotimba waitwe nakumbuka askari waliwekwa selo nakumwagiwa maji

Ndipo ikawa soo ilibidi wamtaje mwamba
Hapo hapo akaambiwa via sare nenda kwenu
Maisha ya jamaa yalibadirika ghafla akawa anashinda kwenye kagari kake kekundu

Wife nae ni watamaa pesa ikapotea
Gari yake akauza wife kakimbia

Ila alikuja kusepa nahisi sasa ni jambazi au mlinzi...
 
Mambo mengine yanakera Sana!

Ebu fikilia, Gari limeibiwa mwezi wa nne, Tumehangaika kulitafta hatimaye likapatikana likiwa limefichwa huko Kimara na dreva wake kuuwawa na waliohusika na wizi huo walikamatwa wote na Cyber Crew!

Wakati taratibu zingine za kimahakama zikiendelea, Gari Hilo likiwa ni miongoni mwa vielelezo vya ushahidi! Nikaomba nipatiwe ili liendelee kufanya biashara kwa masharti kuwa sitakiwi kuliuza hadi kesi itakapoisha, ili pindi wakilihitaji mahakamani kwa ushahidi nilipeleke;

Nilikubali masharti hayo, lakini wakaomba niwapatie funguo wa akiba ili waliendeshe wao kulipeleka kwa mkaguzi (Vehicle inspector) kabla ya kunikabidhi rasmi! Nikawapa funguo!

Hadi Sasa Zimepita wiki mbili wananizungusha hawataki kunipa gari Hilo, Kibaya zaidi Sasa wanasema gari lenyewe sahivi matairi mawili halina, halafu na radio haimo; Eti ndiyo maana wanachelewa kunipatia kwasababu upelelezi unaendelea!
Inauma Sana! GARI IMEKAMATWA IKIWA SALAMA NA FUNGUO WAKAOMBA; Sasa imekuaje ghafla matairi na radio vimepotea!?
Nachoamini Ilikuwa kituoni sehemu salama! Matairi yamepoteaje?

NATOA SIKU SABA waliohusika wote na wizi wa matairi hayo warudishe haraka vinginevyo napita Nao hivi, maana hawana huruma hata kidogo!

Iwe ni watu wa breakdown au ni nani yoyote aliyehusika Itakula kwao hadi kizazi Chake Cha tatu!

SIWAPIGII TENA KUFUATILIA TOENI NA INJINI KABISA!
Ongea vizuri na wana CCM watakusaidia
 
Pole sana ndugu.

Kuna rafiki yangu polisi aliniambia mkuu wa kituo kila siku alikuwa analalamika ujazo wa gunia la mimea vilivyokamatwa vinapungua ujazo.

Tuna safari ndefu sana
 
Mambo mengine yanakera Sana!

Ebu fikilia, Gari limeibiwa mwezi wa nne, Tumehangaika kulitafta hatimaye likapatikana likiwa limefichwa huko Kimara na dreva wake kuuwawa na waliohusika na wizi huo walikamatwa wote na Cyber Crew!

Wakati taratibu zingine za kimahakama zikiendelea, Gari Hilo likiwa ni miongoni mwa vielelezo vya ushahidi! Nikaomba nipatiwe ili liendelee kufanya biashara kwa masharti kuwa sitakiwi kuliuza hadi kesi itakapoisha, ili pindi wakilihitaji mahakamani kwa ushahidi nilipeleke;

Nilikubali masharti hayo, lakini wakaomba niwapatie funguo wa akiba ili waliendeshe wao kulipeleka kwa mkaguzi (Vehicle inspector) kabla ya kunikabidhi rasmi! Nikawapa funguo!

Hadi Sasa Zimepita wiki mbili wananizungusha hawataki kunipa gari Hilo, Kibaya zaidi Sasa wanasema gari lenyewe sahivi matairi mawili halina, halafu na radio haimo; Eti ndiyo maana wanachelewa kunipatia kwasababu upelelezi unaendelea!
Inauma Sana! GARI IMEKAMATWA IKIWA SALAMA NA FUNGUO WAKAOMBA; Sasa imekuaje ghafla matairi na radio vimepotea!?
Nachoamini Ilikuwa kituoni sehemu salama! Matairi yamepoteaje?

NATOA SIKU SABA waliohusika wote na wizi wa matairi hayo warudishe haraka vinginevyo napita Nao hivi, maana hawana huruma hata kidogo!

Iwe ni watu wa breakdown au ni nani yoyote aliyehusika Itakula kwao hadi kizazi Chake Cha tatu!

SIWAPIGII TENA KUFUATILIA TOENI NA INJINI KABISA!
Tangu umezaliwa umewahi kushuhudia kwa macho yako popote uchawi ukifanya kazi? Au ndio story za kijiweni zinakupa matumaini hayo? Tatua mambo kwa kutumia akili, uchawi haupo unapoteza muda tu.
 
Mambo mengine yanakera Sana!

Ebu fikilia, Gari limeibiwa mwezi wa nne, Tumehangaika kulitafta hatimaye likapatikana likiwa limefichwa huko Kimara na dreva wake kuuwawa na waliohusika na wizi huo walikamatwa wote na Cyber Crew!

Wakati taratibu zingine za kimahakama zikiendelea, Gari Hilo likiwa ni miongoni mwa vielelezo vya ushahidi! Nikaomba nipatiwe ili liendelee kufanya biashara kwa masharti kuwa sitakiwi kuliuza hadi kesi itakapoisha, ili pindi wakilihitaji mahakamani kwa ushahidi nilipeleke;

Nilikubali masharti hayo, lakini wakaomba niwapatie funguo wa akiba ili waliendeshe wao kulipeleka kwa mkaguzi (Vehicle inspector) kabla ya kunikabidhi rasmi! Nikawapa funguo!

Hadi Sasa Zimepita wiki mbili wananizungusha hawataki kunipa gari Hilo, Kibaya zaidi Sasa wanasema gari lenyewe sahivi matairi mawili halina, halafu na radio haimo; Eti ndiyo maana wanachelewa kunipatia kwasababu upelelezi unaendelea!
Inauma Sana! GARI IMEKAMATWA IKIWA SALAMA NA FUNGUO WAKAOMBA; Sasa imekuaje ghafla matairi na radio vimepotea!?
Nachoamini Ilikuwa kituoni sehemu salama! Matairi yamepoteaje?

NATOA SIKU SABA waliohusika wote na wizi wa matairi hayo warudishe haraka vinginevyo napita Nao hivi, maana hawana huruma hata kidogo!

Iwe ni watu wa breakdown au ni nani yoyote aliyehusika Itakula kwao hadi kizazi Chake Cha tatu!

SIWAPIGII TENA KUFUATILIA TOENI NA INJINI KABISA!
WALIOKUJIBU HAOO NDIO UANZE NAO MKUU POLESANA SANA HUJAJUA KAZI ZA YALE MABDOWN EEH.. NUSUYAKE YOTE NI WAMILIKI WA PALE. S...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom